Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

Shida ya wabongo anahitaji kile aonacho sawa basi kiwe sawa na kwa mwingine big no

Mkuu tang'ana sikupi pole ila nasema jifunze kukubali uamuzi wa mwenzio hivyo nachoweza kukushauri ni kuwa as long as kasema huko haendi na pia still anayo kazi yake mueleze kuwa umemuelewa ila jaribu kumjengea mazingira ya kuanza kujitegemea yaani akaanzishe geto lake.
 
Ameungana na wakuu wa chama cha waalimu cwt kugomea uteuzi

Kama amegomea Yuko sahih Kama ilivyo kwa wakuu wa CWT
Usimlazimishe maadamu hakutegemei bas gawa hyo risk kwa mtu mwingine

Nadhani dogo yule Ni account amesoma so njoo dm tuyajenga wewe utapatiwa laki tano kila mwezi baada ya mwaka mrija wa laki tano utakatwa rasm na kuwa utagongea vibuku 50 tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mwenyewe huna uwezo wa kuingiza hata laki 5 kwa mwezi ndio umtafutie mtu kazi ya 1.5m?

Halafu nadhani huu uzi upo jukwaa la Kazi ila I bet uliuanzisha MMU ili mabinti wa kule wauone, moderator wakauhamisha
😂😂😂
JamiiForums bana
Natamani hii vita ungekua umeanzisha na Ile antibiotic yetu Pendwa
Dadeki pangefuka umu
 
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)

Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.

Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.

So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.

Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Undugu lawama mkuu, ungekausha tu
 
Utakuta kamshirikisha demu wake kakataa ila waafrika kweli mapenzi yanatupelekesha yaani uache hela yote hiyo maisha yenyewe ya dar mbona shida tupu tu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)

Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.

Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.

So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.

Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Mtose akakae anapopataka yeye wewe umetimiza wajibu, mwombe radhi jamaa ila mtekenye dogo akupe jina lingine kisha mpasie jamaa na kama anaweza kupata mtu mwingine aendelee.

Usihangaike huyo ana shangazi hapo mjini na DSM fever, ana uhakika wa kula na kulala.

Atoke maghetoni
 
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Pitia hizi Nyuzi Ujifunze Jambo, USHAURI unaohitaji utaupata huko

Yaani wale wachina wa KEDA- CHALINZE walikuwa wanampa 500k asee hongera yake me walikua wananipa 300k punguza NSSF hapo na KPI zao za kijinga ..kwa mwezi inakuja 200+ ....

Management traine
 
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)

Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.

Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.

So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.

Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Mzee usimchekee hapo kwako anasubili nini, mfungashe aende kwao,kukaa na ndugu ni muwapa support tu kwa mda wakipata channel waanze maisha yao, siku kukaa nao milele.
 
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)

Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.

Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.

So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.

Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Shoga Hilo linataka libaki Dar lipakuliwe kiboga,

Mimi hadi muda huu angekuwa yupo kwao kijijini.

Sura yake nisiione Mahali popote nilipo
 
Jamani mi naomba niunganishwe na hio kazi. Achana nae huyo siku akipigwa na shida atakutafuta huku akilia na kutoa kamasi tupe sisi wenye uhitaji tufanye kazi
 
Ushauri wangu ni hakikisha umesimamia apatishe mtu mimba na umtimue akili itampanda .

Ingine itakuwa kalogwa mtu hataki aendelee
 
Yaani wengine tunavyohanagika kutafuta kazi halafu mtu anagoma na mshahara mrefu hivyo dah. Hata kazi ya mshahara wa 300k natafuta ila nakosa jaman jaman io nafasi naiomba kwa kweli
 
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)

Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.

Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.

So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.

Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Achana nalo. Tena usimsemeshe chochote kuhusu masuala ya kazi.
 
Back
Top Bottom