Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

Wakuu,naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.

Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto,huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)

Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa angu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.

Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.

So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.

Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa angu aliyenipa hii ramani?
Aisee!
Ngoja asote mtaani,hayo makaratasi ya degree atayaweka pembeni.

Kwenye miti hakuna wajenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenyewe huna uwezo wa kuingiza hata laki 5 kwa mwezi ndio umtafutie mtu kazi ya 1.5m?

Halafu nadhani huu uzi upo jukwaa la Kazi ila I bet uliuanzisha MMU ili mabinti wa kule wauone, moderator wakauhamisha
😂😂😂
JamiiForums bana
 
Au hiyo 500 isiyo na makato inamzuzua?

1.5
Kama alisoma na mkopo
Wanalamba almost laki 7 za statutory deduction.

Au ameona inayobaki ni sawa na ya muhindi 😂
Hamna cha maana ustaa mwingi kafika jijini, ushamba kibao anaona town anajikuta mtoto wa town ..Hajayajua Maisha dogo huyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] hahahaha

Mkuu umejuaje? Unamjua? hahaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ni jamaa wa kitambo hapa JF, nilikuwa naona nyuzi zake nyingi ni pumba tu,

uzi kama huu nadhani aliuanzisha MMU moderator wakauhamishia jukwaa la kazi
 
Back
Top Bottom