Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

Aisee!
Ngoja asote mtaani,hayo makaratasi ya degree atayaweka pembeni.

Kwenye miti hakuna wajenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenyewe huna uwezo wa kuingiza hata laki 5 kwa mwezi ndio umtafutie mtu kazi ya 1.5m?

Halafu nadhani huu uzi upo jukwaa la Kazi ila I bet uliuanzisha MMU ili mabinti wa kule wauone, moderator wakauhamisha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
JamiiForums bana
 
Au hiyo 500 isiyo na makato inamzuzua?

1.5
Kama alisoma na mkopo
Wanalamba almost laki 7 za statutory deduction.

Au ameona inayobaki ni sawa na ya muhindi πŸ˜‚
Hamna cha maana ustaa mwingi kafika jijini, ushamba kibao anaona town anajikuta mtoto wa town ..Hajayajua Maisha dogo huyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] hahahaha

Mkuu umejuaje? Unamjua? hahaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ni jamaa wa kitambo hapa JF, nilikuwa naona nyuzi zake nyingi ni pumba tu,

uzi kama huu nadhani aliuanzisha MMU moderator wakauhamishia jukwaa la kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…