Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

Watu wengi tunafail coz hatujui "WHEN TO QUIT"

Hapo quit tu chief, yatakayomtokea "mazuri" au "mabaya" sio wajibu wako tena, ushaplay role yako
 
GPA ya 4 anapata kiburi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ama kweli kwenye maisha kuna nguvu za ukinzani kila mahali, si makanisani, maofisini, kwenye familia, kwenye mitaa,n.k
Nikupe Pole, ni kweli inaumiza sanaa unajitahidi kumuonea mtu huruma lakini yeye anakuwa haelewi maana yako ni nini? Narudia tena Pole sanaa chief...Yumkini malezi pia yanachangia pakubwa kumfanya aone hiyo ni hela ndogo au Mbeya ni porini sijajua mtazamo wake ni upi, lakini hajui anakataa fursa TAMU sana. Mbeya watu wanasema ni kitonga + na hiyo Salary..Nibgekuwa mimi ningekuwa kwenye New Force au Sauli muda huu.
Daaa ! Mungu atusaidie vijana..
 
Me naona haoni thamani ya kuwa na ndugu mwenye manufaa. Wengine tunatamani tupate hata mdau au rafiki mwenye kutuunganisha na kazi, kama vipi nicheki inbox maana vipo vigezo kamili.
 
Fukuza home. Mm nlikuwa na akili kama zake nifukuzwa home sasa nipo kanda ya ziwa
 
Daaa watu wanachezea bahati watu tupo kitaa mpaka tumechoka, sema sijajua wanahitaji mtu wa course gani, nina BA ya Mazingira kama wanaweza nichukua, nipo Mbeya. Naomba ni connect
 
Mwambie akapange kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…