Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

Mtimue haraka hapo home. Alaf mwambie hautohusika tena na harakati zake za utafutaji ajira
 
Mfukuze kwako analala bure akakula bure anakuny* bure ndio maana ana kiburi
 
ww na yeye wote n punguani yaan unaomba ushauri mpaka hili yaan
 
Kwanza una moyo mzuri sana wakusaidia ila uyo BINAMU yako ni bwege usawa huu 1.5m ni kubwa sana especially ukiwa ndio uaanza maisha
 
Asante kwa ushauri mkuu
Fukuza huyo jangili, mimi nilivyomaliza chuo nlipata kaz ya kwanza mshahara laki 5 mkuu nilipambana mpaka nikapata kazi serikalini ambayo alahamdulilah siwez kucompain... Huyo kadekezwa mfukuze akajue mbele kwa mbele anakuharibia REPUTATION KWA WATU WANAOKUAMINI 100%
 
Aisee wengine tunavyohaha huku mtaani na gpa zetu za 4
 

Mlete nivuke nae maji
Pemba atakuwa anakaa ndanj na game namnunulia
 
Naomba niunganishe mm nipo tayari kwenda huko mbeya , nimesomea procurement and logistics management
 
Inategemea dogo na malengo yake sidhani kama ni ela ndogo pengine ana plan zake ,kaa muulize anataka kitu gani ktk haya maisha, mweleze maisha ni popote
 
Muacheni dogo afanye anachopenda labda hapo alipo anapata amani ya moyo labda ana malengo yake amesuka mitego yake kila mtu na ana plan zake.
Wapo watu waliokataa mshahara wa mil 10 sembuse hiyo hela ya mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…