Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Ndo hawa wako humu jf wanatusumbua. Pole mkuu unaweza kutamani kulibutua jitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah ulitisha sana, natumai ulipata hiyo nafasi au sugunyo ilihusika ?KUna siku niliwahi usahili mmoja shirika fulani mpaka wakabaki wanacheka ..usahili saa 6 mimi saa 1 na 30 nilikua pale[emoji28]
Mtimue haraka hapo home. Alaf mwambie hautohusika tena na harakati zake za utafutaji ajiraWakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Mfukuze kwako analala bure akakula bure anakuny* bure ndio maana ana kiburiWakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Unapata 700 na nssf inaingia ni tofaut na 500 kavuAu hiyo 500 isiyo na makato inamzuzua?
1.5
Kama alisoma na mkopo
Wanalamba almost laki 7 za statutory deduction.
Au ameona inayobaki ni sawa na ya muhindi [emoji23]
Nilipata sema malipo yake ni madogo halfu yanachelewa mnoo 😅😅..mshahara kwa mshahara haukutaniHahah ulitisha sana, natumai ulipata hiyo nafasi au sugunyo ilihusika ?
PM watajaa kutaka kuunganishwa.
Mawili utoe cha juu upewe kazi au utoe cha juu utapeliwe.
ww na yeye wote n punguani yaan unaomba ushauri mpaka hili yaanWakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Fukuza huyo jangili, mimi nilivyomaliza chuo nlipata kaz ya kwanza mshahara laki 5 mkuu nilipambana mpaka nikapata kazi serikalini ambayo alahamdulilah siwez kucompain... Huyo kadekezwa mfukuze akajue mbele kwa mbele anakuharibia REPUTATION KWA WATU WANAOKUAMINI 100%Asante kwa ushauri mkuu
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi)
Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu ka kujishkiza huko kwenye viwanda vya wachina coz kuna jamaa yangu alinifanyia maneuvers flani wakawa wanampa 500k ambayo haina makato yoyote coz wanamchukulia kama trainee tu.
Well baada ya kuona kila leo anahudhururia Dodoma kupiga paper za utumishi na bado hatoboi nikamshauri aweke nguvu zaidi kwenye private sector kuliko kupoteza resources huko utumishi. So last two weeks kuna mdau wangu mmoja yuko kampuni flani aliniambia ofisini kwao wanataka kijana muaminifu aliyesomea mambo ya kama huyu dogo wangu hivyo nimsaidie kutafuta nikamuambia ninae binamu yangu, tuka arrange kila kitu dogo kafanyiwa interview ya kizushi na akafanikiwa kupita.
So jana wamemtumia offer letter, wamemuambia atareport kwenye office zao zilizopo huko Mbeya na salary ni kama 1.5m gross dogo kasema hayuko tayari kwenda Mbeya kwa mshahara huo labda wambakishe hapa hapa Dar, nimembembeleza dogo naona haelewi, nimewashirikisha wazazi wake naona pia hawajaelewana.
Sasa labda mnisaidie wakuu, huyu mtu mimi nimfanyaje maana pia ananiharibia sifa kwa yule jamaa yangu aliyenipa hii ramani?
Nani huyo mr 💰Muacheni dogo afanye anachopenda labda hapo alipo anapata amani ya moyo.
Wapo watu waliokataa mshahara wa mil 10.