Habari wakuu
Nimetokea kumpenda Binti wa kitanzania
Kuna siku nimejaribu kuongea naye.... Maongezi yalikuwa hivi
Zehoes :Mambo VIP?
Binti :safi!!!
Zehoes :Unaitwa nani??
Binti :staki
Zehoes :naomba namba za simu bidada
Binti :staki
Zehoes :mmmhh
Mwisho wa maongezi...
Nilijiona sina thamani lakini bado nampenda huyu Binti ...
Ombi langu kwenu mlionitangulia kuja mjini... Nahitaji Binti tufahamiane naye...Hivyo nipeni mautundu ya kufanya awe wangu....
Msinishambulie kwa mapovu jamani... Nipeni ushauri namna ya kumpata huyu