rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hana,angekua na hela mambo yangekua yameshajipa wala asingefika huku kuja kulia lia kuomba msaada
ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Rubiikimimi[emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hana,angekua na hela mambo yangekua yameshajipa wala asingefika huku kuja kulia lia kuomba msaada
ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Dah.... Hakuna dem wa bure dunia nzima... Ndiyo asili ya binadamu[emoji87]Inaoneka wewe rubii wajiuza
Penda kula nae chipsi mayai kama wanaume wa Dar wafanyavyoHabari wakuu
Nimetokea kumpenda Binti wa kitanzania
Kuna siku nimejaribu kuongea naye.... Maongezi yalikuwa hivi
Zehoes :Mambo VIP?
Binti :safi!!!
Zehoes :Unaitwa nani??
Binti :staki
Zehoes :naomba namba za simu bidada
Binti :staki
Zehoes :mmmhh
Mwisho wa maongezi...
Nilijiona sina thamani lakini bado nampenda huyu Binti ...
Ombi langu kwenu mlionitangulia kuja mjini... Nahitaji Binti tufahamiane naye...Hivyo nipeni mautundu ya kufanya awe wangu....
Msinishambulie kwa mapovu jamani... Nipeni ushauri namna ya kumpata huyu
mwanaume lazma uwe na comfidence hasa kwa hawa viumbe..mfuate muda ambao yupo mwenyewe ongea nae ishu za kawaida kwa muda alafu hit the point mshike mkono then sogea zaidi karibu yake muda wa usiku itakua vizuri(utakua na comfidence zaidi)yeah huwa namtolea mimacho tu... Mara kibao anajipitisha hapa offisini kwangu
Aibu naona mimijina kakukatalia bado ukamuomba namba ya simu
hivi nyie wa mikoani mna matatizo gani ??
labda mmezoea kupigana ngwala vichakani kisha mnamalizana