Nimempenda lakini hatufahamiani

Nimempenda lakini hatufahamiani

mi sijakuelewa hamfahamiani kwa maana hamjaonana au vipi? na kama hamkuonana mliongea kwa kutumia kifaa gani maana hapa unasema kakunyima namba ya simu. na jina

ufafanuzi tafadhali
 
kwa hayo maongezi humpati mtu.........vibinti vya sikuhizi vimezoea mitongozo ya bodaboda.....
 
mi sijakuelewa hamfahamiani kwa maana hamjaonana au vipi? na kama hamkuonana mliongea kwa kutumia kifaa gani maana hapa unasema kakunyima namba ya simu. na jina

ufafanuzi tafadhali
aisee basi huwa namuona tu... syo zaidi ya hapo... hayo maongezi ni ya uso kwa macho
 
Una hela?[emoji3]

Rubiikimimi[emoji85]
Hana,angekua na hela mambo yangekua yameshajipa wala asingefika huku kuja kulia lia kuomba msaada

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Mwambie una PESA nataka mtumia akupe namba take ya m pesaa

sent from my iPhone 6
 
Back
Top Bottom