Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 130
- 368
Acha kazi alafu umfungukieNatamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
Umeshapewa option so chagua moja unaloona linakupa faraja kijana maisha ndio haya hayaNatamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
Jamani hahah
Make it official, uki declare mapenzi yenu maana yake mmoja wenu atahamishiwa kituo kingine cha kazi. Au ofisi ipo moja tu tz yote?Natamani kumfungukia huyu binti lakini nakwama. Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?! Je, nifuate moyo wangu na kudate na mfanyakazi mwenzangu au nimpoteze na kubaki bila furaha hapa kazini?
Nimechanganyikiwa sana nifanye nini?