Nimempenda msichana mrembo aliyezaliwa na HIV, nifanye nini?

Kama mkristo utatamka hivi:
Kwenye shida na raha
Kwenye uzima na ugonjwa
Hadi kifo kitutenganishe.
Shida iko wapi ndugu?
 
Kama umempenda endelea ila inabidi uwaone wataalam wa afya or nenda any CTC upate ushauri jinsi ya kuishi naye bila wewe kupata maambukizi kama ujaambukizwa.Siku hizi unaishi vizuri tu na kuna hao "HIV discordant couple" wengi tu .Ukikutana na wataalam wa afya ,unakuwa unameza PrPE (Pre ex-posure Prophylaxis) HIV prevention methods which involves taking a daily pill or receiving a bi-monthly injection.So usiogope na unatakiwa umsaidie aweze kuwa anameza ARVs kama atakavyoshauriwa na wataalam ili ku supress Viral Load (Kitaalam zaidi) ziwe "zero"(yaani kufubaza virusi) ili pia asikuambukize in case method hiyo hapo juu ime fali.It is possible kuna watu wameishi hivyo kwa miaka zaidi ya 20 na wanawatoto na huyo mmoja hawajapata maambukizi kabisa.Kwa improvement zilizopo sasa za HIV ,ukipata maambukizi ni wewe tu umetaka kwani Dawa na elimu ya kutosha .Condom pia zipo za kutosha kwenye maduka ya dawa nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…