Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
- Thread starter
- #161
Maombi ya nini sasaDuuh maombi yanahitajika Kwa uyu kijana mwenzetu
Maombi ya nini sasaDuuh maombi yanahitajika Kwa uyu kijana mwenzetu
Maombi Kwa munguMaombi ya nini sasa
Kwa ajil ya niniMaombi Kwa mungu
Pamoja sana#U=U undetected=u transmittedsiku hizi HIV Ina sura mpya ulimwenguni. Mtu akitumia dawa vizuri kwa miezi 6 anakuwa undetected (virus vinazidiwa nguvu vinapooza) katika mazingira hayo hawezi ambukiza
Faida ya mtu aliyezaliwa navyo ameshajikubali hivo dawa ni sehemu ya maisha yake na kwahyo na wewe utakuwa salama.
Kwa msaada zaidi nenda kituo Cha afya. Ila inawezekana na unakuwa salama. Kama unampenda follow your heart,❤️
Mchukue ila zingatia ushauri wa wadau ,nenda kwa wataalam wa afya , watawapa njia sahii ya kuishi wote bila shidaWakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!
Hakika mkuuMchukue ila zingatia ushauri wa wadau ,nenda kwa wataalam wa afya , watawapa njia sahii ya kuishi wote bila shida
mkuu unataka aweke maneno kwenye zile emoji ndo uelewe au??Ilikuwaje mkuu labda na mimi nitapata experience
Usimfanye mwenzako ajifunze kuwatukana watekaji.Acha uoga! Nenda Hospital watakupa taratibu za Kuishi na mtu wa namna hio bila kukuambukiza wewe Wala mtoto wenu mtakaemzaa
Maybemkuu unataka aweke maneno kwenye zile emoji ndo uelewe au??
MuoeWakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!
Asante ila ilikuwa chai tu maana sikuwa na cha kuleta jukwaani so nikaamua kupika storyMali safi kabisa
Oa tu mkuu
Iliishaje mkuu.Asante ila ilikuwa chai tu maana sikuwa na cha kuleta jukwaani so nikaamua kupika story
Sio habari ya kweliIliishaje mkuu.
Maamuzi yako ya mwisho ilikuwa nini?
Kuna mengi ya kujifunza kama hii habari ni ya kweli na una lengo la kuelimisha wengine unaweza kutoa mrejesho wa hadithi hii.