Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
- Thread starter
- #141
NimekuonaNimekuja
NimekuonaNimekuja
Hunitakii memaKafe nae
Hunitakii mema
Sasa wewe umenishauri niniKwani lazima nikushauri unavotaka wew?
Kwanin useme sikutakii memaSasa wewe umenishauri nini
Sasa utaniambiaje kafe naeKwanin useme sikutakii mema
Wew ni **** unasemajeSasa utaniambiaje kafe nae
Unataka nisemajeWew ni **** unasemaje
kula mbunyeto hiyo wwWakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!
Sitakikula mbunyeto hiyo ww
hakuna madhara mkuu kama anatumia dawaSitaki
Sawa ngoja nijaribuhakuna madhara mkuu kama anatumia dawa
nawatoto atakuzaria freshSawa ngoja nijaribu
Hao watoto watakuwa salama?nawatoto atakuzaria fresh
naam kama atafuata masharti ya wahudumu wa afyaHao watoto watakuwa salama?
Aisee, akiwa na ukimwi mimi hata tuende wapi, sikubali maisha yenyewe mafupiMimi nashauri mchukue nendeni mkapate ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya.