Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
- Thread starter
- #61
You know nothing but you don't know anythingKwa hiyo unatuuliza umpendeje,siyo?
You know nothing but you don't know anythingKwa hiyo unatuuliza umpendeje,siyo?
Hata kuandika? Double negations!You know nothing but you don't know anything
Hizo ni siasa sasaHekima na maarifa ya juu endapo utaitumia kwa uangalifu.
Kuandika niniHata kuandika? Double negations!
Wewe unakiburi yani unabishana na washauri?Hizo ni siasa sasa
Waraka wa Ufunuo.Kuandika nini
Double negation zimefanyajeHata kuandika? Double negations!
Sawa mkuu ngoja nikajaribu kunywa leo nione matokeoWewe unakiburi yani unabishana na washauri?
Hawa watu wamefanana na watu wa Kirinyaga kule KE aka 254.
Ufunuo kutoka wapi kwenda kwa naniWaraka wa Ufunuo.
Huwa unakunywa kimpumu?Sawa mkuu ngoja nikajaribu kunywa leo nione matokeo
Watu ******* Kama nyie huu ndo ushauri unawafaa .Mkuu unaijua HIV vizuri mpaka useme sio ugonjwa
Ni wenyewe kaka🤣Hawa watu wamefanana na watu wa Kirinyaga kule KE aka 254.
Mbona huyo mrembo haogopi ukimwi yuko sawa tuu?Ukimwi mbaya sana mkuu naogopa
Wapo mswano gwegwe.Ni wenyewe kaka🤣
Haogopi sababu kazaliwa naoMbona huyo mrembo haogopi ukimwi yuko sawa tuu?
Kama ushauri wetu hhuutaki una maamuzi yako kwanini kusumbua watu hapa?
MuoeWakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!
True Mkuu alipoteza muda nyerereKama nyerere angejua idadi ya CCM na idadi ya wajinga asingejisumbua kudai uhuru yani uchemshe chai alafu upoze ili unywe.
View attachment 3307156
😁😁😁Kuna jamaa aliwahi kusema huu msongo mkali wa mawazo wakitaifa umefanya kila kiijana kuwa comedian hapa bongo.
Ahsante kwa chai ya moto.
View attachment 3307155