fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Inawezekana,sasa nenda nae hospitali mkapewe ushauriWakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!
Kwanza kamzalilisha mtuKwanini Mkuu?
Bado nacheka hapa ...
Sana mkuu yaani namuonea sana hurumaBinti wa watu mzuri ilq duniani imempa mtihani, Duniani ni changamoto sana.
Ataolewa na mwenye virusi vya UKIMWI mwenzake...Sasa mkuu unafikiri nikimuacha ataolewa na nani na kapata ukimwi si kwa makosa yake bali amezaliwa nao
Sana mkuu yaani namuonea sanaBinti wa watu mzuri ilq duniani imempa mtihani, Duniani ni changamoto sana.
Ukimwi mbaya sana mkuu naogopaKama mkristo utatamka hivi:
Kwenye shida na raha
Kwenye uzima na ugonjwa
Hadi kifo kitutenganishe.
Shida iko wapi ndugu?
Situmii pombeTOKA UANZE KUTUMIA POMBE UNA MUDA GANI
Lakini nichukue tahadhari kwanzaWanasema mapenzi upofu, a.k.a kitovu cha uzembe, H.I.V ni kama ulemavu tu beba chombo weka ndani mtajua mbele kwa mbele.
Ungeanza tumia ungekuta ulishafanya uamuzi sahihi kitambo sana😊Situmii pombe
Mkuu unaijua HIV vizuri mpaka useme sio ugonjwaHIV sio ugonjwa muoe na uwahi kabla haujamkosa
Kwa hiyo mkuu unataka kusema kuwa kuna uwezekano wa kupiga kavu na bado nisipate maambukiziKama umempenda endelea ila inabidi uwaone wataalam wa afya or nenda any CTC upate ushauri jinsi ya kuishi naye bila wewe kupata maambukizi kama ujaambukizwa.Siku hizi unaishi vizuri tu na kuna hao "HIV discordant couple" wengi tu .Ukikutana na wataalam wa afya ,unakuwa unameza PrPE (Pre ex-posure Prophylaxis) HIV prevention methods which involves taking a daily pill or receiving a bi-monthly injection.So usiogope na unatakiwa umsaidie aweze kuwa anameza ARVs kama atakavyoshauriwa na wataalam ili ku supress Viral Load (Kitaalam zaidi) ziwe "zero"(yaani kufubaza virusi) ili pia asikuambukize in case method hiyo hapo juu ime fali.It is possible kuna watu wameishi hivyo kwa miaka zaidi ya 20 na wanawatoto na huyo mmoja hawajapata maambukizi kabisa.Kwa improvement zilizopo sasa za HIV ,ukipata maambukizi ni wewe tu umetaka kwani Dawa na elimu ya kutosha .Condom pia zipo za kutosha kwenye maduka ya dawa nk.
Sawa mkuuInawezekana,sasa nenda nae hospitali mkapewe ushauri
Kwa hiyo unatuuliza umpendeje,siyo?Wakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!
Nani kazalilishwa mkuuKwanza kamzalilisha mtu
Ulichokisema ni kweli mkuu lakini kila nikijaribu kuwaza kumuacha roho inaniuma maana na yeye ananipenda mnoAtaolewa na mwenye virusi vya UKIMWI mwenzake...
Mungu akikupa jaribu anatoa na mlango wa kutokea
SiutakiUKIMWI UNAZINGATIA ARV TU NA KULA KITIMOTO, UNAISHI MIAKA BUKU
Pombe ina nini hasa mkuuUngeanza tumia ungekuta ulishafanya uamuzi sahihi kitambo sana😊
Hekima na maarifa ya juu endapo utaitumia kwa uangalifu.Pombe ina nini hasa mkuu