Mtafutie tiba asili.Wakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa. Anaendelea na dawa na ana afya nzuri.
Mimi nampenda kweli na niko serious, lakini bado najiuliza kama ni salama kumuoa na ni changamoto gani naweza kukutana nazo.
Naombeni ushauri wa kweli, tafadhali.
Asanteni!
Unaweza kuniambia hiyo tiba ni ipi mkuuMtafutie tiba asili.
Nimetoa wazo,Unaweza kuniambia hiyo tiba ni ipi mkuu
Sawa ngoja nifuatilie mkuuNimetoa wazo,
Ila zipo ukiamua seriaz na kuanza kufatilia. Anza na Muhimbili kitengo cha tiba asili.
Kama kweli mnapendana msaidie
Sawa ngoja nifuatilie mkuuNimetoa wazo,
Ila zipo ukiamua seriaz na kuanza kufatilia. Anza na Muhimbili kitengo cha tiba asili.
Kama kweli mnapendana msaidie
Tahadhari muhimu mkuuMapenzi hisia no matter what mkuu
Sawa ila nataka nijue namna ya kujilinda kabla sijamgusaKipenda roho hula nyama mbichi ,oa tu wataalamu wapo utaish vyema
Nenda kwenye vituo vya kutolea huduma za afya na ushauri nasaha kwa hudumaSawa ila nataka nijue namna ya kujilinda kabla sijamgusa
Seriously nakuambia...Tahadhari muhimu mkuu
Yeah ni kweliNenda kwenye vituo vya kutolea huduma za afya na ushauri nasaha kwa huduma
Ilikuwaje mkuu labda na mimi nitapata experienceSeriously nakuambia...
Mimi nishawahi toka na binti wa namna hiyo ni story ndefu ila daaah ππππππππππππ..
Bado sijailamba na sijajua kama ni sumu kweli kama inavyosemekana au ni asaliUnaonja sumu kwa kulamba?
Lakini moto huohuo ukiutumia vizuri huwa na manufaaKhadija khopa aliiimba "usigusee moto utakuunguza"
Tunaomba utupe,tupate kujifunza pia..Seriously nakuambia...
Mimi nishawahi toka na binti wa namna hiyo ni story ndefu ila daaah ππππππππππππ..
Tunasubiri..Seriously nakuambia...
Mimi nishawahi toka na binti wa namna hiyo ni story ndefu ila daaah ππππππππππππ..
NimekujaNjoo PM