Nimempenda msichana mrembo aliyezaliwa na HIV, nifanye nini?

#U=U undetected=u transmittedsiku hizi HIV Ina sura mpya ulimwenguni. Mtu akitumia dawa vizuri kwa miezi 6 anakuwa undetected (virus vinazidiwa nguvu vinapooza) katika mazingira hayo hawezi ambukiza

Faida ya mtu aliyezaliwa navyo ameshajikubali hivo dawa ni sehemu ya maisha yake na kwahyo na wewe utakuwa salama.
Kwa msaada zaidi nenda kituo Cha afya. Ila inawezekana na unakuwa salama. Kama unampenda follow your heart,❤️
 
Pamoja sana
 
Mchukue ila zingatia ushauri wa wadau ,nenda kwa wataalam wa afya , watawapa njia sahii ya kuishi wote bila shida
 
Acha uoga! Nenda Hospital watakupa taratibu za Kuishi na mtu wa namna hio bila kukuambukiza wewe Wala mtoto wenu mtakaemzaa
Usimfanye mwenzako ajifunze kuwatukana watekaji.
 
Kama unampenda kweli muoe. Ila nendeni kituo cha afya Kuna namna watawaelekeza mtaishi vizuri. Wewe ukiwa salama na hutopata maambukizi toka kwa mweza wako. MUNGU akusimamiee...maan wengi wakishajuaa hali ya mwenzao huwa wanakimbia nakuwaacha kwenye msongo mkubwa wa mawazo
 
Muoe
 
Asante ila ilikuwa chai tu maana sikuwa na cha kuleta jukwaani so nikaamua kupika story
Iliishaje mkuu.
Maamuzi yako ya mwisho ilikuwa nini?
Kuna mengi ya kujifunza kama hii habari ni ya kweli na una lengo la kuelimisha wengine unaweza kutoa mrejesho wa hadithi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…