Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
Fide Fide Fide...............kumbe na wewe this time umepatwa eeh??!!!!!!

Ngoja nisubili mpaka ajitambulishe naogopa anaweza akawa sana na Boflo alafu ikawa aibu.
 
Hahahaha yeah kama kawa Komredi,
Lakini naona kwenye swala la kumega Mwanakijiji ni domo zege hatoweza kuchangamkia tender hiyo naamini dili lingekudondokea wewe komredi ungekuwa umesha tuma air ticket mkutane kwa mzee Madiba.

Ahahahahahaaa...Mwanakijiji hadi atumie Cialis huyo....na prescription yake usikute ishaisha!

Ila komredi kama huyu GS ni shori halafu angeingia kwenye angazangu....angekuwa keshatunguliwa zamani tu.
 
Fide Fide Fide...............kumbe na wewe this time umepatwa eeh??!!!!



na wewe sasa ndo maneno gani lakini haya??? as if its an offence!!!!

we ngoja na wee dawa yako inachemkia huko Ikwiriri!!! utaliwa na mamba mwaka huu!!

Mamba akae chonjo la sivyo ataliwa yeye....wink wink
 
Ahahahahahaaa...Mwanakijiji hadi atumie Cialis huyo....na prescription yake usikute ishaisha!

Ila komredi kama huyu GS ni shori halafu angeingia kwenye angazangu....angekuwa keshatunguliza zamani tu.

Hahaha Komredi mm nakujua ndani ya kumi na nane huwa hupaishi ni kucheka na nyavu kama kawa.
Naona Mwanakijiji analemba lemba saaaaana
 
shem wewe je? maana GS anawapenda nyie wachambusi wa mambo ya sihasa....

vinginevyo BM na yeye aanze leo kutundika kule kwenye jukwaa lenu ili Gs am-conside na yeye.

Shem, mimi sipo ughaibuni; nipo hapahapa Bongo nakomaa tu na Sihasa za Bongo, Balantanda yeye yuko Ughaibuni nchi ya Kusadikika. Kwa mujibu wa GS huyo kaka yuko ughaibuni!
 
Shem, mimi sipo ughaibuni; nipo hapahapa Bongo nakomaa tu na Sihasa za Bongo, Balantanda yeye yuko Ughaibuni nchi ya Kusadikika. Kwa mujibu wa GS huyo kaka yuko ughaibuni!

basi jamani Bala is occupied by bht!!! if at all GS ndo alimaanisha (of which I know its not the fact)
 

Nimeipenda hii... Unamfundisha dada yetu kutokea eeh! Na wengine twajifunza ati!!
hahahahaaaaa
 
GS mama, nilikuwa naona mizuka tu kusikia watu wamefall in love kupitia mtandaoni bila hata ya kumuona mtu anafananaje mpaka yaliponikuta ya kufall in love na mtu ambaye sikuwahi hata kumtia machoni, nilikuwa siamini kabisa hili.
Mtu angeniambia kwamba naweza kufall in love mtandaoni na mtu ambaye sijawahi hata kumuona ningemwambia yeah! right! If that is your conclusion then you don't know anything about me lakini ni kweli sijawahi kupenda kiasi hiki sijawahi kupendwa kiasi hiki na huyu mdada ni a very special person, very intelligent, smart, down to earth, charming, very friendly I have never felt this way before in my life and trust me I have been out there in the field.

Kwa hiyo wala sikushangai kutokana na ulichoandika, ulipoandika hivi kwanza niliposoma nilidhani ni huyo binti kaamua kuomba ushauri hapa JF lakini kuna tofauti kidogo ya details zako na za kwetu lakini nisingependa kuziweka hapa ukumbini. Ushauri wangu fuata moyo wako unaweza kuwa kwenye penzi la kweli kabisa ambalo likadumu kwa miaka mingi ijayo na hata kuja kufunga pingu za maisha na kujaliwa watoto wazuri sana. Kila la heri katika penzi zito ulilozama. Kumbe tuko wengi katika mambo haya.
 
Acha Ujinga wewe

Mapenzi Ya Internet au Kama wasemavyo watoto wa siku Mapenzi ya Dotcom, mpaenzi ya Facebook,......fanya kazi acha upuuzi huo:brick:

Now,i thought you could do better than this.Mbona kama huwezi kushauri kitu constructive huwezi kukaa kimya?
 
Now,i thought you could do better than this.Mbona kama huwezi kushauri kitu constructive huwezi kukaa kimya?

Wengine wana akili za kushikiwa ni lazima tu waseme kitu negative hata mahali pasipostahili.
 
GS.....where art thou??????...jitokeze pliiiz uje utegue fumbo huku.....Nyumbani hakukaliki(nadhani na Mwnakijiji ni hivohivo).....hahaaaaaaaaaa
 

It all depends on the the level of maturity of the person involved or the action maybe misconcepted.

For smart guys and chics, they realize that the world is big shopping plaza. The truth is that women have amazing powers over men, no question about that , Eve who was the last on the scene got Adam to do the wrong thing. So every woman has the powers, but to exercise it , you must have a clear picture of the kind of man you intend to pick from the crazy crowd.This tendency is further reinforced by the Fact that most quality men use their heads and not their hearts in issues that have to do with women. But that also makes it pretty difficult to sell to this group, Bcoz they are focused on the real issues like character, background, brains, good company,integrity etc, ahead of charm, looks etc. smart women first of all, understand themselves and know what they need, then when they find him, they sell hard and live happily ever after, while the not too smart ones think its a game of luck, and keep trying and also keep sulking for God knows how long. For the smart guys they just look out for the smart chicks cos they are the ones who know what they are looking for.The truth is that most smart guys don't have the patience for a woman who neither knows where she is coming from, nor where she is going to. BOTTOM LINE, LOVE IS A CONSCIOUS DECISION, NOT SOMETHING THAT JUST HAPPENS, AND ITS WORKED BY BY TWO PEOPLE WHO WERE LOOKING FOR IT AND THEN FOUND IT.
I hope you all realise that making some one fall in love with you is not as easy as yu all insinuate, the simplest way to make a guy love u is just to be yourself, smetimes it happens due to your personality, the male gender is actually one dat is also sensitive, tho' its kinda hidden

I know it's hard but just be comfident,i wish you all the best my dear!
 
But mhh,hii thread ilivyopata waumini leo?si mchezo,jukwaa la siasa limedoda.Pls GS next time usitufanyie hivi
 
GS,hauko peke yako dear,cha kufanya jitahidi uimarishe mawasiliano,km ilikuwa chatroom/pm jitahidi upate number uongee nae uone bado kama unafeel connected...you might be suprised he also feel the same way!

goodluck!
 
GS.....where art thou??????...jitokeze pliiiz uje utegue fumbo huku.....Nyumbani hakukaliki(nadhani na Mwnakijiji ni hivohivo).....hahaaaaaaaaaa

yaani! halafu NN ndiyo sasa amechokoza nyuki maana shemeji yenu kaja juu hapa kuwa "unaona rafiki yako anasema ni wewe". Sasa inabidi nizoze na GS chemba ili niweze kuona jinsi gani tunaweza "kuyamaliza kiutuzima".. kama ni mimi, maana unaweza kujipa ujiko kumbe aliyedondokewa mchambuzi wa kisiasa yuko Ubalozini UK!
 

Utakuwa umefanya jambo la maana sana........sana tu
 
GS.....where art thou??????...jitokeze pliiiz uje utegue fumbo huku.....Nyumbani hakukaliki(nadhani na Mwnakijiji ni hivohivo).....hahaaaaaaaaaa


afu nyie mnanipa shaka kweli sasa, ngoja tuone.................
 
Sasa inabidi nizoze na GS chemba ili niweze kuona jinsi gani tunaweza "kuyamaliza kiutuzima".. kama ni mimi, maana unaweza kujipa ujiko kumbe aliyedondokewa mchambuzi wa kisiasa yuko Ubalozini UK!

Hahahahahahaaaa.....that's what I'm talkin' about. That's right out of the player's playbook!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…