Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
kupenda daima hakuna macho wewe ndiyo mwenye macho sasa anza kuona unamjua
then tengeneza uwazi na umwabie wazo lako juu yake,
then tengeneza uwazi na umwabie wazo lako juu yake,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhhhhhhhhh.....Ukisikia obsession ndo hii
Haya bibie ngoja nivute muda kidogo nadhani yupo anajijua atasema tu.....:target:
tuwekee picha yako hapa kwanza tukusaminishe! mkono mtupu haulambwi!
mie leo yangu macho tu.sina komenti zaidi.
yeah kama yeye kaweka wazi kwamba anampenda basi atuwekee picha yake tuthaminishe...fahari ya macho haifilisi duka....!ha ha ha kama una interest mkuu una PM tu picha zitatumwa we unataka watu waanza kuchambua mpaka kidole hapa?
I love you three!!
Nimeamuwa kuandika hivi maana sijawai pendwa humu JF tangia mwaka 2008 nimejiunga. Ama kwasababu sina point za kuchangia? Kila mtu anawake humu, jamani na sisi tupendwe hata kwa masaa....Nakuomba bht tuwe wawili, otherwise humu ndani kwanini sijapata wa kunipenda
GS kama ningekuwa mimi nimempenda msichana, of course mimi ni mwanaume, no matter yupo wapi NAMUELEZA kuwa kutokana na A,B,C,...Z please nimekupenda sana, ukinikataa basi
Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje
Hayuko PEKE YAKE!Asa jina lenyewe Baba Mkubwa unafikiri inakuwaje mkuu; reflection yake ni turn off tosha!
aiseeeeeeeee huyu jamaaa anaweza kula mzigo mpaka asubuhi......be careful!Vipi kama ni huyu hapa pichani au ana 'undugu' na huyu?
![]()
Vipi kama ni huyu hapa pichani au ana 'undugu' na huyu?
![]()
kaka hivi kweli unakubaliana na upendo kama huo?
mtake radhi mkaka wa watu....Makubwa haya.huyu anaonekana ni mfungwa tena ni mvuta bangi kwa hayo macho yake mekundu.
Hi,
Pole sana,huyu jamaa analeta hadithi za Pwagu,maana yake uko kwenye ulimwengu wa kufikirika,unatupa tabu ukileta mada kama hii kwa wasomi wenzako na wanasaikolojia tunakuwa na wasiwasi kama akili iko kwenye mstari,maana yake hujielewi,
Mapenzi ni kitu kizuri lakini unapenda kwa kuona kwanza au kumtamani mtu ambaye umemuona umbile lake,
Sasa ndugu yangu huyo wa kwako ni ndoto za mchana.
Tuliza mawazo yako.
Elisante Yona
Ukimsoma vizuri GS hapo juu kaongea maneno haya hapa chini;
"Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.''
Balantanda, isije kuwa sister kakuzimikia wewe, maana hata wewe uko nje ya Tz; Kusadikika ni Nji nyingine ati! Hebu uliza-uliza basi isijekuwa unamuua dada wa watu taratibu, na kama umeoa sema kabisa ili asijiingia kwenye mtego mwingine.
Mkuu, unasisitiza kuwa trade mark ya BHT na pacha wake ni ya kwako, hivyo unaweza ku-authorise use of any of the two kama upendavyo?
Preta.........hebu do ze needful kwa Bala wakati BHT akijaribu kukagua kama BM anafaa kwa matumizi.
Mi yangu macho tu................hahaaaaaaaaaaaaaa.......adh....Kweli mdogo wangu u king'ang'anizi
Ibrah Ibrah!!!!
mwenzio moyo wangu unadundia hapo hapo