Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
GS my dear;

Just for my personal interest are you HE or SHE?

I am HE if you wanna know.

Xpin najua kama wewe ni He..Kwanini unataka kujua jinsia yangu kwani ya nini rafiki yangu?Humu tunatwanga hoja bila kujali jinsia au ndio unataka kuanza ubaguzi wa jinsia?wewe acha hizo am Gender Sensitive,ukileta ijinsia hapa nitakushughulikia kweli kweli..
 
GS mi nimeanza kuandaa makala ya siasa na uchumi....
 
Kama gs unataka mjivuni, basi nipo!

Mtaje basi thread iwe tamu aisee?
 
Ben,nenda pg ya 11 umetajwa kule kwenye maelezo yangu kama mmoja wa wachambuzi wa siasa,uchumi n.k

De Novo jamani nimesema dili likitiki nitawajulisheni ndugu zangu..

Roya Roy,kuwa mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi si hoja,je uchambuzi wako ni yakinifu au unaandika tu ilimradi uandike?Mi naangalia uwezo wa mtu,ha ha ha..Poa lakini ingia huenda ukapendwa na mtu mwingine lakini sio mimi,mi tayari nimeshafall kwake,sitarajii kupenda tena.
 
GS, am prepared for the long short.
Nawasiliana na mwanakijiji anipe twisheni ya uchambuzi ambao ni makini.....i wont give up!
 

ahaaaa hapa unanipa jibu kuwa hata yeye ame-respond vizuri na mchezi umekwisha au sio??

Roya Roy, pole subiri wakati mwingine!!!
 
sie wambea mbona tumepatikana kny sredi hii......tumebanwa na vihoro karibia tunatapika!LOL...hakyanani utakuwa hujatutendea haki usipomtaja!LOL
 

Hapo tu ndipo huwa unanikwazaga.......
 
sie wambea mbona tumepatikana kny sredi hii......tumebanwa na vihoro karibia tunatapika!LOL...hakyanani utakuwa hujatutendea haki usipomtaja!LOL

mimi karibia shingo ipasuke kihoro kitoke.....GS bana tutendee haki wenzio
 
sie wambea mbona tumepatikana kny sredi hii......tumebanwa na vihoro karibia tunatapika!LOL...hakyanani utakuwa hujatutendea haki usipomtaja!LOL

Yaani hii nimecheka mpaka basi! Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki JF idumu.
 
mimi karibia shingo ipasuke kihoro kitoke.....GS bana tutendee haki wenzio
Hivi nyie hamjui kusoma between them lines?
Yani mpaka anitaje ndio mtaelewa?
Poor slow learners!
 

GS hapa mjengoni warozi wengi ambao wanaweza kufanya lolote lile kuwaharibia mapenzi yenu. Kula ngumu ukimwaga mtama kwenye kuku wengi jamaa anaweza kabisa kuchukia na hivyo kuharibu kila kitu ukabaki na majuto mjukuu.

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…