Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
GS my dear;
Just for my personal interest are you HE or SHE?
I am HE if you wanna know.
oooh ok :target:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GS my dear;
Just for my personal interest are you HE or SHE?
I am HE if you wanna know.
oooh ok :target:
Goodmorning mchiki?
Mwache msacha a do the needful bana. Huwezi jua mipango ya Mungu.
GS my dear;
Just for my personal interest are you HE or SHE?
I am HE if you wanna know.
GS mi nimeanza kuandaa makala ya siasa na uchumi....
GS, am prepared for the long short.Roya Roy,kuwa mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi si hoja,je uchambuzi wako ni yakinifu au unaandika tu ilimradi uandike?Mi naangalia uwezo wa mtu,ha ha ha..Poa lakini ingia huenda ukapendwa na mtu mwingine lakini sio mimi,mi tayari nimeshafall kwake,sitarajii kupenda tena.
Ben,nenda pg ya 11 umetajwa kule kwenye maelezo yangu kama mmoja wa wachambuzi wa siasa,uchumi n.k
De Novo jamani nimesema dili likitiki nitawajulisheni ndugu zangu..
Roya Roy,kuwa mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi si hoja,je uchambuzi wako ni yakinifu au unaandika tu ilimradi uandike?Mi naangalia uwezo wa mtu,ha ha ha..Poa lakini ingia huenda ukapendwa na mtu mwingine lakini sio mimi,mi tayari nimeshafall kwake,sitarajii kupenda tena.
You know where to find me, don't you?ni kweli...halafu nimekumiss
Xpin najua kama wewe ni He..Kwanini unataka kujua jinsia yangu kwani ya nini rafiki yangu?Humu tunatwanga hoja bila kujali jinsia au ndio unataka kuanza ubaguzi wa jinsia?wewe acha hizo am Gender Sensitive,ukileta ijinsia hapa nitakushughulikia kweli kweli..
Kama gs unataka mjivuni, basi nipo!
Mtaje basi thread iwe tamu aisee?
sie wambea mbona tumepatikana kny sredi hii......tumebanwa na vihoro karibia tunatapika!LOL...hakyanani utakuwa hujatutendea haki usipomtaja!LOL
sie wambea mbona tumepatikana kny sredi hii......tumebanwa na vihoro karibia tunatapika!LOL...hakyanani utakuwa hujatutendea haki usipomtaja!LOL
Hivi nyie hamjui kusoma between them lines?mimi karibia shingo ipasuke kihoro kitoke.....GS bana tutendee haki wenzio
Ben,nenda pg ya 11 umetajwa kule kwenye maelezo yangu kama mmoja wa wachambuzi wa siasa,uchumi n.k
De Novo jamani nimesema dili likitiki nitawajulisheni ndugu zangu..
Roya Roy,kuwa mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi si hoja,je uchambuzi wako ni yakinifu au unaandika tu ilimradi uandike?Mi naangalia uwezo wa mtu,ha ha ha..Poa lakini ingia huenda ukapendwa na mtu mwingine lakini sio mimi,mi tayari nimeshafall kwake,sitarajii kupenda tena.
sie wambea mbona tumepatikana kny sredi hii......tumebanwa na vihoro karibia tunatapika!LOL...hakyanani utakuwa hujatutendea haki usipomtaja!LOL
mimi karibia shingo ipasuke kihoro kitoke.....GS bana tutendee haki wenzio