Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
Roya Roy jitahidi kupata twisheni huenda ukapata mtu humu lakini wachambuzi wako wengi mno humu jamvini wasiliana nao wote..

Roselyne 1.Watu wameguswa na sredi hii kwa kuwa wanahisi wapenzi wao wanapendwa,watu wanalinda mali zao bwana..

Xpin 1. Usikwazike na kujali kwangu masuala ya jinsia,ndio wito wangu mwenzio,nielewe tu. 2. Hivi umetajwa kwenye ile list ya wachambuzi mbona kujimegea mchana wote huu wakati watu hatujapata hata lunch?

bht,Mmh,wala sijaanza kufanya mawasiliano nae kila nikimcheki hewani hayupo leo,sijui anatatizo gani..lakini pia bado najipanga jinsi ya kumuingia kwa staili ya aina yake ili aingie kwenye kumi na nane zangu.

FL1.Acha uchokozi,kuanza kumtaja mtu hadharani,mi mwenyewe nimesema mabo yakiwa mazuri nitamtaja..
Preta,acha kihoro ndio ukubwa huo,nadhani tunaweza tukajikuta tunashea,ha ha ha.Ruksa siku hizi kushea kwahiyo tuliza kihoro dia.

Pele.Asante kwa kunipa ushauri mzuri,ni ukweli usiopingika kwamba nikimtaja hapa watu tutaanza kuwa maadui bure lakini pia kuna wengine wataharibu halafu mi nikamkosa CHAGUO LA MOYO WANGU,ASALI WA MOYO..ha ha ha..

Mmh sasa nitoke kidogo nifanye mambo mengine..Nisije nikafukuzwa kazi bureeeeeeeee kisa JF.
 
mmh kumbe bado ? sasa mbona unaikatili nafsi wewe, je akiku turn down n aunavosema hutopenda mwingine tena?

angalia kauli zako tata best ujue....

hay poa nenda kachapa basi ile mukhtasari....hahahaaaa!!!
 
klorokwini umerudi mazee, karibu sana! Tehetehetehe! Kama kawaida, hukopeshi!
heheh bado kurudi rasmi, huku jimboni wananchi wamekuwa vichwa ngumu kweli mwaka huu,hawataki kutoa kura kirahisi,inabidi tupige kampeni ovataimu.

beki to ze topik: GS usinitaje hazarani, waswahili wataniloga aisee.chuna hivyo hivyo ufe kiobama obama (slow dethi)
 
wanaume niliowapenda humu JF:Fidel marshall(siku hizi simuoni),Pasco,Nyani Ngabu na X-PIN(i think he is really funny!)...... :target:
 
wanaume niliowapenda humu JF:Fidel marshall(siku hizi simuoni),Pasco,Nyani Ngabu na X-PIN(i think he is really funny!)...... :target:

hee hee...huyo wa blue una hakika spelingi ni hizo
 
mmh kumbe bado ? sasa mbona unaikatili nafsi wewe, je akiku turn down n aunavosema hutopenda mwingine tena?

angalia kauli zako tata best ujue....

hay poa nenda kachapa basi ile mukhtasari....hahahaaaa!!!

bht kwanza nimeshamaliza kuandika minutes za watu saa hizi boss kaniruhusu kuandelea na mambo yangu.E bwana bado sijmwambia kwani hayuko hewani mpaka sasa,sasa nitawasilianan naye vipi jamani?kauli zangu sio tata kwa kuwa ndio ukweli,kwa jinsi ninavyomzimikia jamaa sidhani kama nitapenda tena kama itatokea basi hilo ni suala lingine...
 
Kwa kweli naamini suala la GS linatugusa watu wengi humu na linawakilisha kwa namna moja au nyingine utata ambao baadhi ya watu wamejikuta wanao. Ni utata ule ule wa maisha wa kuona mtu mnakutana kwenye daladala kila siku na unamzimikia au umemuona mara moja mahali akakuachia tabasamu na ungependa kumjua. Hiki kilikuwa kinaitwa "penzi la ghafla" na msingi wake nadhani uko ndani sana ya mioyo ya watu kwani hauna maelezo ya kisayansi ya kwanini mtu anaweza kumdondokea mtu ambaye amemuona mara moja tu au kumuona kwa picha au kukutana msibani au kwenye sherehe fulani.

Ni sehemu ya safari hii hii ya maisha. Sijui kama watu mnakumbuka ila movie ya "Unfaithful" ya Richarde Gere.. By accident sometimes we fall hard na hatuwezi kuridhika hadi itokee japo mara moja tu kuwa mikononi mwa huyo nyonda!
 
Ni kweli limegusa watu wengi sana kwani licha ya michango ya humu lakini pia PMs leo zimekuwa nyingi kwangu na live chat iko bize kweli kwangu..Kuna wengine nao nahisi tumefall wote kwa mtu mmoja wananifuatilia hao mpaka naogopa..Duu kazi ipo.Lol
 
GS, umeomba ushauri kuhusu penzi lako zito na mpenzi wako, lakini angalia mwelekeo wa thread wanoko wanataka kujua tu ni nani huyo mwenye bahati ya mtende ya kuweza kupendwa kiasi hiki na binti mrembo kama wewe aliyetulia, intelligent, smart, very friendly, charming, mcha mungu. Nakuomba usiwape faida wanoko ya kumuweka hadharani kipenzi chako maana utajuta kuzaliwa maana itakuwa ni utani kila leo mpaka utachukia. Jikalie kimya wale waliokupa ushauri kama ulivyoomba fuata ushauri wao, wanoko wanaokuchimba ili wamjue huyo lucky man achana nao wala wasikuweke roho juu. Achana na hao wanaokutumia PM ili kutaka kujua huyo jamaa ni nani kama wanakupa ushauri sawa. Kila la heri katika mahaba yako moto moto.
 
Mr Man.mmh sifa zako nimeziogopa kama nini,umeziotoa wapi na nani aliyekuambia kuwa mimi ni binti eti tena mrembo,ndugu yangu umenoa kabisa..Hata vivyo asante for the complements hata kama sio zangu..
 
I see...............
 
Inawezekana amekudondokea(kwa lafudhi ya kisukuma) huyo................hahaaaaaaaaa...Mambo vp lakini

Ha ha ha.Atakuwa amewrong number mambo ya JF unaweza ukajikuta unampenda mtu wa jinisa yako,Lol..Sijui itakuwaje.
 
wanaume niliowapenda humu JF:Fidel marshall(siku hizi simuoni),Pasco,Nyani Ngabu na X-PIN(i think he is really funny!)...... :target:

What's up Fab......judging by your name you must fabulous for real....you put the F in fabulous
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…