Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
- Thread starter
- #261
Roya Roy jitahidi kupata twisheni huenda ukapata mtu humu lakini wachambuzi wako wengi mno humu jamvini wasiliana nao wote..
Roselyne 1.Watu wameguswa na sredi hii kwa kuwa wanahisi wapenzi wao wanapendwa,watu wanalinda mali zao bwana..
Xpin 1. Usikwazike na kujali kwangu masuala ya jinsia,ndio wito wangu mwenzio,nielewe tu. 2. Hivi umetajwa kwenye ile list ya wachambuzi mbona kujimegea mchana wote huu wakati watu hatujapata hata lunch?
bht,Mmh,wala sijaanza kufanya mawasiliano nae kila nikimcheki hewani hayupo leo,sijui anatatizo gani..lakini pia bado najipanga jinsi ya kumuingia kwa staili ya aina yake ili aingie kwenye kumi na nane zangu.
FL1.Acha uchokozi,kuanza kumtaja mtu hadharani,mi mwenyewe nimesema mabo yakiwa mazuri nitamtaja..
Preta,acha kihoro ndio ukubwa huo,nadhani tunaweza tukajikuta tunashea,ha ha ha.Ruksa siku hizi kushea kwahiyo tuliza kihoro dia.
Pele.Asante kwa kunipa ushauri mzuri,ni ukweli usiopingika kwamba nikimtaja hapa watu tutaanza kuwa maadui bure lakini pia kuna wengine wataharibu halafu mi nikamkosa CHAGUO LA MOYO WANGU,ASALI WA MOYO..ha ha ha..
Mmh sasa nitoke kidogo nifanye mambo mengine..Nisije nikafukuzwa kazi bureeeeeeeee kisa JF.