Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
Mr Man.mmh sifa zako nimeziogopa kama nini,umeziotoa wapi na nani aliyekuambia kuwa mimi ni binti eti tena mrembo,ndugu yangu umenoa kabisa..Hata vivyo asante for the complements hata kama sio zangu..

GS kama hujui jinsia yako soma hapo kwenye rangi nyekundu chini labda itakusaidia kujua jinsia yako ni ipi maana uliiweka wazi labda hukupenda kufanya hivyo lakini ukajisahau hahahahahahah labda si mrembo lakini huko miye sitaki kwenda hahahahahah lakini siku hizi kuna midume pia inaolewa ati!!!Kila la heri na penzi moto moto.

 
wanaume niliowapenda humu JF:Fidel marshall(siku hizi simuoni),Pasco,Nyani Ngabu na X-PIN(i think he is really funny!)...... :target:

Hahahaha! Thanks! What took you so long? Hebu NiPM basi!!!
 
Hahahaha! Thanks! What took you so long? Hebu NiPM basi!!!

Mkuu, i thought as long as amekua courageous vya kutosha, then u should make the 'first' move. :hug:
 
Mkuu, i thought as long as amekua courageous vya kutosha, then u should make the 'first' move. :hug:
If and only if you agree to be my bestman! (and referee ofcourse) Au nikupe password yangu uangalie kinachoendelea kwenye PM?
 
Ni kweli limegusa watu wengi sana kwani licha ya michango ya humu lakini pia PMs leo zimekuwa nyingi kwangu na live chat iko bize kweli kwangu..Kuna wengine nao nahisi tumefall wote kwa mtu mmoja wananifuatilia hao mpaka naogopa..Duu kazi ipo.Lol

Ukiweka matokeo hadharani mbona itakua mtafaruku huku.
 
If and only if you agree to be my bestman! (and referee ofcourse) Au nikupe password yangu uangalie kinachoendelea kwenye PM?
Mkuu mi ni minor........password yako baki nayo! :lalala:
 
Haya mambo yamewakuta wengi sana na hakuna hata moja iliwahi kufanikiwa. Ndugu zetuwalioko nje wana ukame wa (pilau) waafrika kama wanavyotuita huku wakisema eti kule wamezoea kula wali mweupe (wazungu) ambao ndiyo cheaper. wanatafuta wakirudi bongo watahang out na nani ndiyo hapo wanaanza kutapeli watu.

My dear take my advice, usipoteze muda wako mwingi kumuwazia huyo jamaa especially kama umekutanana nae kwenye chart room kama hizi, kwa uzoefu mdogo nilionao naweza kutabiri nini kitakutokea; ni kama ifuatavyo. Atakuja mtaonana vizuri atakubed aka kukuonja kama kawaida halafu atahamia kwa wale wengine ambao alichat nao kama wewe kwa nyakati tofauti.

Hapo sasa inabidi muwe wabunifu atakayemuwin ni yule atakayeonyesha makeke yake kutokana na vigezo alivyojiwekea. Be careful.Tafuta vijana wa hapa hapa wazuri watanashati hao wa nje ni vimeo. kwanza una uhakika gani hajaoa? kama anakudanganya ili aje akulale then aende kwa mkewe. Mshirikishe Mungu kwa hili atakuongoza.

Carol
 
Mhh, hiyo kali ya mwaka Gs, angalia usije penda mtu wa jinsia yako au jini bure. lakini anyway, jitahidi mtu wangu kulisongesha, nadhani hatafanya ajizi kwa mtu makini kama wewe. ila hivi kupenda kitu gani? unapenda hata a ghost? fantastick!! goodluck!!!!
 


Mkuu,

Umetoa ushauri wa maana sana hasa hapo ulipomtamkia amshirikishe Mungu.Hapa tuko pamoja 100%

Ila sasa mkuu ulivyotoa ushauri,nadhani ushauri wako umezingatia mazoea zaidi.Watu wanatofautiana mkuu.what if kama huyo jamaa pia amemzimia vile vile? ofcourse,najua Some of us guys don't know what we want

I stil believe through JF it is possible to get someone who'll appreciate you and show you the respect you deserve
 

Hebu fafanua tukuelewe hapo kwenye maandishi makubwa.
 
Mr Man.mmh sifa zako nimeziogopa kama nini,umeziotoa wapi na nani aliyekuambia kuwa mimi ni binti eti tena mrembo,ndugu yangu umenoa kabisa..Hata vivyo asante for the complements hata kama sio zangu..

GS kwani wewe ni binti wa makamo ?
 

Uliyosema ni kweli tupu Caroline inabidi GS ayafanyie kazi
 


WAHAPAHAPA!Thats the way mwaya!
 

Your hate is misplaced. Kila jambo linahitaji analysis yenye akili. Wee kaa ulijirahisi kwa msela kutoka mtoni ukaingia kingi au ukadhania sex is the only language guys understands ukamvulia kufuli kwa tamaa na pupa zako...u have only urself to blame. Check with ur own analytical skills or intelligence quotient. Ukilaumu mvua kwa sababu hukubeba mwamvuli wewe ndio mwenye matatizo dada. Samahani lakini kaa nimekukwaza.
 

Umejibu vema Mkuu..Naunga mkono hoja
 


Could you repeat the same paragraph 2 more times. Hata kama umemkwaza lakini ndiyo ukweli.
 
Nadhani tusichanganye mambo; katika ulimwengu huu wa teknolojia uwezekano wa mtu kumpata rafiki, mpenzi na hata mwenza wa kweli wa maisha upo. Lakini hadi kufikia upande huo hatua za maana na za msingi ni lazima zifuatwe. Usiruke hatua hizo kwani ukiruka utajikuta umepitiliza wakati mwenzako hata kuanza hajaanza. GS amefanya kitendo cha kijasiri kukiri jambo hili na bila ya shaka atakuwa ametusaidia wengi ambao tunajikuta kwenye kona hii ya uamuzi. Tumwombe yule aliyejuu tu atusaidie tuweze kufanya uamuzi sahihi ambao hautatufanya tujue baadaye.
 
Si ulishaandika hapa siku za nyuma kwamba umeolewa? yanakupataje tena mambo ya kushangilia wa hapahapa na wewe ni mke wa mtu? Umeachika au ndiyo mambo ya nyumba ndogo?

Ujengelele si kila kitu kiwe na kisasi; wakati mwingine mnawakwaza sasa dada zenu humu hadi mtu anaogopa kutoa mawazo kwa sababu watu "watakumbushia". Wakati mwingine tuenjoy the moment tu bila kumng'ang'ania mtu hadi apaone JF pachungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…