BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mr Man.mmh sifa zako nimeziogopa kama nini,umeziotoa wapi na nani aliyekuambia kuwa mimi ni binti eti tena mrembo,ndugu yangu umenoa kabisa..Hata vivyo asante for the complements hata kama sio zangu..
GS kama hujui jinsia yako soma hapo kwenye rangi nyekundu chini labda itakusaidia kujua jinsia yako ni ipi maana uliiweka wazi labda hukupenda kufanya hivyo lakini ukajisahau hahahahahahah labda si mrembo lakini huko miye sitaki kwenda hahahahahah lakini siku hizi kuna midume pia inaolewa ati!!!Kila la heri na penzi moto moto.
Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.