Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sijampata rafiki yangu,nisaidie basi...
Ndugu zangu,habari zenu.
Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.
Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.
Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.
Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.
Kwani Mwanakijiji kakupiga chini? Siku hizi ana hang na Wacongo mwenzio...kanogewa ndombolo ya solo....hata Kiswahili kaanza kuongea kaa cha kwao....so step your game up
acha uhuni na uzinifu...hizo ndo dalili zake na hakika zinamchukiza mungu baba..halelujaaaa
acha uhuni na uzinifu...hizo ndo dalili zake na hakika zinamchukiza mungu baba..halelujaaaa
Mkuu,
Kama huu ndo uzinifu,basi dunia itakua imejaa wazinzi. Kaazi kweli kiweli. Naona hukua na hoja ya kuchangia anyways!
Samahani sana ndugu.... nilimwandikia nani na kwa mukhtadha upi?
Pia kama nimeolewa, nikaachika au ni nyumba ndogo sijui kama ni ishu hapa!
Well said Mkuu... I think its time watu wajue kuwa siyo kila kisemwacho JF basi ni kama msahafu. At times people just want to take things lightly bila kujali sana kuzodolewa.Nimeshindwa kumwelewa huyu ndugu Ujengelele ambaye sijawahi hata mara moja kugongana naye kwenye hoja yoyote, na ndio maana pamoja na kuisoma post yake toka aibandike sikujibu.
Nilijijengea? Isitoshe do u know what Wahapahapa mean? Hata kama ni kutetea nilichoandika hakina uchafu wowote kama unavyotaka kusema , It simply means stick with those close to you! IF THAT IS DIRTY - POLE SANA.kAMA UNA LAKO LINGINE LIWEKE WAZI BADALA YA KUTAFUTA KIANZIO.
NO OFFENCE INTENDED THOUGH - NO HARD FEELINGS EITHER!
ametaleza kidogo,kila mtu aweza kosea.MSAMEHE.......hata saba mara sabini.Kigogo,kwani MUNGU amekataza ndoa?nani mzinifu hapa?hivi kumbe kupenda ni kuzini eeh?
mnapoelekea ni kubaya.chondechonde,vumilianeni,sameheaneni.........usimjibu mwenzio please,hujui mwenzio kaamkaje.sina kianzio chochote, sikujui hunijui kianzio kitoke wapi? Kama unamegwa nje ya ndoa yako huo ni uamuzi wako. Whether you have hard feelings against me or not that is your own problem and i don't care.
ametaleza kidogo,kila mtu aweza kosea.MSAMEHE.......hata saba mara sabini.
Sina kianzio chochote, sikujui hunijui kianzio kitoke wapi? Kama unamegwa nje ya ndoa yako huo ni uamuzi wako. Whether you have hard feelings against me or not that is your own problem and I don't care.
Sina kianzio chochote, sikujui hunijui kianzio kitoke wapi? Kama unamegwa nje ya ndoa yako huo ni uamuzi wako. Whether you have hard feelings against me or not that is your own problem and I don't care.
Unaboa babu...........
Umeonaa eeh,anaboa sana..Vipi hujambo wewe?umenikimbia tena,unavituko wewe?na kufukuza muda si mrefu kwenye list yangu,ha ha ha!
Mbona nipo.....mi nikajua umeamua kunipotezea............hahaaaaaaaaa[/QUOT
E]
Siakupotezea ila nadhani mtandao ndio unasumbua,kwangu naona uko offline...
ha ha ha halafu hiiii ndio kwanza naiona leo amini usiamini.This is too bad 11 days sikuiona duuh!!!!! hatari hii.Tall my friend,wala sina mpango wa kumtaja..Vipi kesho nikuone saa ngapi?ha ha ha.Ngoja niwarushe roho kina bht na Balantanda.
bahati mbaya leo ndo naiona hii post amini usiamini,hatari sana hii.Naomba mwaliko mtakapokuwa hizi weekend zimekuja vibaya mood iko gogoro kabisa ...