Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu,habari zenu.

Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku.

Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.

Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje ili awe wangu wa maisha.

Tafadhali naombeni ushauri wa kweli,tuache utani,am serious.

acha uhuni na uzinifu...hizo ndo dalili zake na hakika zinamchukiza mungu baba..halelujaaaa
 
Kwani Mwanakijiji kakupiga chini? Siku hizi ana hang na Wacongo mwenzio...kanogewa ndombolo ya solo....hata Kiswahili kaanza kuongea kaa cha kwao....so step your game up

NN,nilishasema sio Mwanakijiji mbona hunielewi?ehee Mwanakijiji anatoka na wakongo wacheza ndombolo mshauri aache,hao wacheza shoo wanawanaume kila wanapokwenda,aangalie asije akashindwa kufikia ndoto zake za kuwa kiongozi fulani hapa TZ...
 
acha uhuni na uzinifu...hizo ndo dalili zake na hakika zinamchukiza mungu baba..halelujaaaa

Mkuu,

Kama huu ndo uzinifu,basi dunia itakua imejaa wazinzi. Kaazi kweli kiweli. Naona hukua na hoja ya kuchangia anyways!
 
Mkuu,

Kama huu ndo uzinifu,basi dunia itakua imejaa wazinzi. Kaazi kweli kiweli. Naona hukua na hoja ya kuchangia anyways!

Hakuwa na hoja,anajifanye yeye mtu wa dini kumbe mrongo tu..Vipi hujambo lakini?
 
Samahani sana ndugu.... nilimwandikia nani na kwa mukhtadha upi?
Pia kama nimeolewa, nikaachika au ni nyumba ndogo sijui kama ni ishu hapa!



Well said Mkuu... I think its time watu wajue kuwa siyo kila kisemwacho JF basi ni kama msahafu. At times people just want to take things lightly bila kujali sana kuzodolewa.Nimeshindwa kumwelewa huyu ndugu Ujengelele ambaye sijawahi hata mara moja kugongana naye kwenye hoja yoyote, na ndio maana pamoja na kuisoma post yake toka aibandike sikujibu.


Nilijijengea? Isitoshe do u know what Wahapahapa mean? Hata kama ni kutetea nilichoandika hakina uchafu wowote kama unavyotaka kusema , It simply means stick with those close to you! IF THAT IS DIRTY - POLE SANA.kAMA UNA LAKO LINGINE LIWEKE WAZI BADALA YA KUTAFUTA KIANZIO.
NO OFFENCE INTENDED THOUGH - NO HARD FEELINGS EITHER!

Sina kianzio chochote, sikujui hunijui kianzio kitoke wapi? Kama unamegwa nje ya ndoa yako huo ni uamuzi wako. Whether you have hard feelings against me or not that is your own problem and I don't care.
 
sina kianzio chochote, sikujui hunijui kianzio kitoke wapi? Kama unamegwa nje ya ndoa yako huo ni uamuzi wako. Whether you have hard feelings against me or not that is your own problem and i don't care.
mnapoelekea ni kubaya.chondechonde,vumilianeni,sameheaneni.........usimjibu mwenzio please,hujui mwenzio kaamkaje.
 
Sina kianzio chochote, sikujui hunijui kianzio kitoke wapi? Kama unamegwa nje ya ndoa yako huo ni uamuzi wako. Whether you have hard feelings against me or not that is your own problem and I don't care.

Mmh, Jamani yamekuwa hayo....
 
Sina kianzio chochote, sikujui hunijui kianzio kitoke wapi? Kama unamegwa nje ya ndoa yako huo ni uamuzi wako. Whether you have hard feelings against me or not that is your own problem and I don't care.

Unaboa babu...........
 
Tall my friend,wala sina mpango wa kumtaja..Vipi kesho nikuone saa ngapi?ha ha ha.Ngoja niwarushe roho kina bht na Balantanda.
ha ha ha halafu hiiii ndio kwanza naiona leo amini usiamini.This is too bad 11 days sikuiona duuh!!!!! hatari hii.
 
i can say it might be Infatuation plus obsession usually caused by being so determent with love.........trust me either u find a man ....or go on trip spend sometime alone in a strange place and meet strange ppl pia katika ratiba yako fanya vitu tofauti ambavyo hukuzoea na wala hukuwa na hobby navyo kufanya...at least a month..... otherwise u will find ur self in knocking a psychiatrist door


msikilize mac anthony na lyrics zake kesi kama ya kwako kimtindo

I have been in love and been alone
I have traveled over many miles to find a home
There's that little place inside of me
That I never thought could take control of everything
But now I just spend all my time
With anyone who makes me feel the way she does

[Chorus:]

‘cause I only feel alive when I dream at night
Even though she's not real it's all right
‘cause I only feel alive when I dream at night
Every move that she makes holds my eyes
And I fall for her every time

I've so many things I want to say
I'll be ready when the perfect moment comes my way
I had never known what's right for me
‘til the night she opened up my heart and set it free
But now I just spend all my time
With anyone who makes me feel the way she does





door
 
Leo ndio nimeiona hii topic ya GS! Sina Comment
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom