Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
wewe si mchambuzi wa uchumi na siasa? na si unabeba maboksi? mbona hizi sifa zinakuelekea wewe? Mwanakijiji amekataa sio yeye na unayefuatia ni wewe.

Ha ha haa Charity bana unanifanya nicheke peke yangu mbele ya Laptop yangu mpaka brother wangu yuo pembeni anashangaa, kifupi mimi sibebi box, niko bongo nakula vumbi tu na Mafuriko! Kazi kwao wabeba box na wanasiasa na wachumi. mimi Mhandisi bana jina langu lisikutatize hata kidogo
 
Isiwe ikawa unamtolea nje kiaina GS! Bado ninamashaka na wewe.
GS pole sana naona umependa usipopendwa!
 
ndege ya uchumi leo umejileta mwenyewe........thibitisha kama sio wewe
 
ndege ya uchumi leo umejileta mwenyewe........thibitisha kama sio wewe

Jamani sifa zilizotajwa pamoja na mahali anapoishi huyo mtajwa mimi sina hata moja!

GS endelea kumuomba Mungu katika kipindi hiki kigumu kabisa naamini huyo mwenzako naye atafunuliwa tu
 
Ngoja niende Habari Maelezo niwasikilize CCJ watasemaje leo naona huku nimeingia mlango wa Kutokea
 
Ngoja niende Habari Maelezo niwasikilize CCJ watasemaje leo naona huku nimeingia mlango wa Kutokea
kaendelee kuchambua hoja za sihasa huko ndo unamrusha roho mtoto wa mwaume mwenzio, ujue hivyo!!
 
Huna komenti kivipi? labda ndo wewe unayezungumziwa hapa na GS.
MBONA MNASHINDWA MWELEWA GS?
1.MLENGWA YUPO ABROAD.
2.HAJAWAHI KUMWONA, HANA DETAILS ZAKE.
3.MWANDISHI WA MAKALA ZA SIASA NA UCHUMI.
HUYU GS HE/SHE IS VERY CLEVER. KILA NENO NA MSITARI UNA MAANA YAKE.........HUO NI MTAZAMO WANGU.HALAFU NAFIKIRI HII THREAD KAIANDAA KWA MAKINI NA KWA UTULIVU MKUBWA........ndio maana inaendeleaaaaa,akitaka kui switchoff anaweza WAKATI WOWOTE. THINK OUTSIDE THE BOX.
 
ndege ya uchumi leo umejileta mwenyewe........thibitisha kama sio wewe

bht..Ndege ya Uchumi anaweza asijijue kama ni yeye ama la..Bado sijafanya mazungumzo na huyo jamaa kwahivyo kwa sasa anaweza asijijue kama ndio yeye..

Ndege ya Uchumi-aliyeongelewa hapa ni mchambuzi wa masula ya siasa na uchumi bila kujali kama yeye ni mwanasiasa ama la.
mimi na wewe tunagongana sana kule kwnye jukwaa la siasa,hujagundua tu,watch my steps you might be the one..Wenzako wanaililia sana hii nafasi,kina De Novo,Xpin,Balantanda samahani bht kama nitakuwa nimekukwaza,Tall,Mr Man na wengine wengi..
 

Tall,
1.hata ndege ya uchumi anaweza kuwa abroad.wewe una uhakika gani yupo bongo?unamfahamu?
2.Hata GS hajawahi kumwona DYU.
3.GS huwa wanagongana na DYU kule kwenye siasa.
Kwa hiyo bado sio justification kuwa sio yeye.Tusubiri tu GS atatupa majibu siku moja.


Kale kabatani sijakaona ningekugongea nadhani umeeleza vizuri sana hata Mkuu Tall atapata majibu yake yote hapa.
 
Isiwe ikawa unamtolea nje kiaina GS! Bado ninamashaka na wewe.
GS pole sana naona umependa usipopendwa!

Charity bado mpendwa hajaambiwa hivyo anaweza asiwe anajijua..najua hawezi kuchomoa nikimwambia kuwa
nimemzimia kati ya 300,ha ha ha..Hawezi kuchomoa,najifahamu vilivyo...
 
Jamani, mi naomba kualikwa kwenye shughuli kila kitu kikikamilika!
 
Charity kabatini kapi hako..acha uchoyo si unigongee tu hako ka senksi..
 

GS mi nakupendeaga hapo tu!!! unasemaga ukweli pasi kificho!!!
ila hapo kwenye blue mmh umenikwaza hivi kumbe mume wangu nae anakuwani eeh!!?? ngoja ...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…