FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
bahati mbaya leo ndo naiona hii post amini usiamini,hatari sana hii.
na ndo imesha expire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bahati mbaya leo ndo naiona hii post amini usiamini,hatari sana hii.
Huna komenti kivipi? labda ndo wewe unayezungumziwa hapa na GS.Leo ndio nimeiona hii topic ya GS! Sina Comment
Huna komenti kivipi? labda ndo wewe unayezungumziwa hapa na GS.
wewe si mchambuzi wa uchumi na siasa? na si unabeba maboksi? mbona hizi sifa zinakuelekea wewe? Mwanakijiji amekataa sio yeye na unayefuatia ni wewe.Hamna bana, sihusiki hapo kabisa yaani
Hamna bana, sihusiki hapo kabisa yaani
wewe si mchambuzi wa uchumi na siasa? na si unabeba maboksi? mbona hizi sifa zinakuelekea wewe? Mwanakijiji amekataa sio yeye na unayefuatia ni wewe.
Isiwe ikawa unamtolea nje kiaina GS! Bado ninamashaka na wewe.Ha ha haa Charity bana unanifanya nicheke peke yangu mbele ya Laptop yangu mpaka brother wangu yuo pembeni anashangaa, kifupi mimi sibebi box, niko bongo nakula vumbi tu na Mafuriko! Kazi kwao wabeba box na wanasiasa na wachumi. mimi Mhandisi bana jina langu lisikutatize hata kidogo
sawasawa.Atudhibitishie kwa vielelezo vyenye hoja.ndege ya uchumi leo umejileta mwenyewe........thibitisha kama sio wewe
ndege ya uchumi leo umejileta mwenyewe........thibitisha kama sio wewe
kaendelee kuchambua hoja za sihasa huko ndo unamrusha roho mtoto wa mwaume mwenzio, ujue hivyo!!Ngoja niende Habari Maelezo niwasikilize CCJ watasemaje leo naona huku nimeingia mlango wa Kutokea
MBONA MNASHINDWA MWELEWA GS?Huna komenti kivipi? labda ndo wewe unayezungumziwa hapa na GS.
ndege ya uchumi leo umejileta mwenyewe........thibitisha kama sio wewe
Hahahahahaa! kweli wewe mwoga. Ukaifie vema nchi yetu.Ngoja niende Habari Maelezo niwasikilize CCJ watasemaje leo naona huku nimeingia mlango wa Kutokea
MBONA MNASHINDWA MWELEWA GS?
1.MLENGWA YUPO ABROAD.
2.HAJAWAHI KUMWONA, HANA DETAILS ZAKE.
3.MWANDISHI WA MAKALA ZA SIASA NA UCHUMI.
HUYU GS HE/SHE IS VERY CLEVER. KILA NENO NA MSITARI UNA MAANA YAKE.........HUO NI MTAZAMO WANGU.HALAFU NAFIKIRI HII THREAD KAIANDAA KWA MAKINI NA KWA UTULIVU MKUBWA........ndio maana inaendeleaaaaa,akitaka kui switchoff anaweza WAKATI WOWOTE. THINK OUTSIDE THE BOX.
Kale kabatani sijakaona ningekugongea nadhani umeeleza vizuri sana hata Mkuu Tall atapata majibu yake yote hapa.bht..Ndege ya Uchumi anaweza asijijue kama ni yeye ama la..Badi sijafanya mazungumzo na huyo jamaa kwahivyo kwa sasa anaweza asijijue kama ndio yeye..
Ndege ya Uchumi-aliyeongelwa hapa ni mchambuzi wa siasa na uchumi bila kujali kama yeye ni mwanasiasa ma la.
mimi na wewe tunagonga sana kule kwnye jukwaa la siasa,hujagundua tu,watch my steps you might be the one
Isiwe ikawa unamtolea nje kiaina GS! Bado ninamashaka na wewe.
GS pole sana naona umependa usipopendwa!
Charity kabatini kapi hako..acha uchoyo si unigongee tu hako ka senksi..Tall,
1.hata ndege ya uchumi anaweza kuwa abroad.wewe una uhakika gani yupo bongo?unamfahamu?
2.Hata GS hajawahi kumwona DYU.
3.GS huwa wanagongana na DYU kule kwenye siasa.
Kwa hiyo bado sio justification kuwa sio yeye.Tusubiri tu GS atatupa majibu siku moja.
Kale kabatani sijakaona ningekugongea nadhani umeeleza vizuri sana hata Mkuu Tall atapata majibu yake yote hapa.
bht..Ndege ya Uchumi anaweza asijijue kama ni yeye ama la..Bado sijafanya mazungumzo na huyo jamaa kwahivyo kwa sasa anaweza asijijue kama ndio yeye..
Ndege ya Uchumi-aliyeongelewa hapa ni mchambuzi wa masula ya siasa na uchumi bila kujali kama yeye ni mwanasiasa ama la.
mimi na wewe tunagongana sana kule kwnye jukwaa la siasa,hujagundua tu,watch my steps you might be the one..Wenzako wanaililia sana hii nafasi,kina De Novo,Xpin,Balantanda samahani bht kama nitakuwa nimekukwaza,Tall,Mr Man na wengine wengi..