Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
shem what is not happening??
hapa sasa ni kukaa pembeni na kuangalia hii mechi...huyu striker anaonekana matata
I wish imesimama kwasababu umeshauriana na Balantanda kuhusu mimi na Balantanda kachukia.....inauma...........duh afadhali mechi imesisha sasa
Do the needfull...................
Halafu mie nashangaa.si anakuona wwe Preta uko singo halafu ni twin wa bht? kwa hiyo mnafanana kopiraiti.kwa nini asikupende wewe?
Halafu mie nashangaa.si anakuona wwe Preta uko singo halafu ni twin wa bht? kwa hiyo mnafanana kopiraiti.kwa nini asikupende wewe?
I wish imesimama kwasababu umeshauriana na Balantanda kuhusu mimi na Balantanda kachukia.....inauma...........
Charity usiseme hivyo? kwani wenye sifa ambazo GS kazitoa anazo huyo huyo mtu X? wapo wengi, yeye kaenda huko...hata mimi namfaham twin wa bht lakini bado ninamuhitaji yeye bht na si twin....Halafu mie nashangaa.si anakuona wwe Preta uko singo halafu ni twin wa bht? kwa hiyo mnafanana kopiraiti.kwa nini asikupende wewe?
Nilidhani kwa kuwa bht ni rafiki yako, basi utanisaidia...ama kweli mtegemea cha nduguye hufa masikini...
Mkuu kukatariwa na bht ndio kamwaga sera? Mkuu Bigirita, jaribu kuandika kitu ambacho bht ataweza kunipenda, kama wewe ni moja ya wana JF wenye kushawishi, help me for temporary love from bht.......nahisi nampenda bht ingawa simfahamu, haya mambo ya kusomaga posts za mtu mmoja zinaweza kukufanya uwe kama GS.......
Mkuu Bigirita, nauhakika 100% GS hakumanisha mimi, kwanza inawezekana leo nsio kaona post zangu humu kwenye thread yake, so I am out of sample space.
Nachomshauri GS ni kumueleza huyo mtu, asije akakaa kimya for long time, kumbe huyo mtu yupo single, anatafuta mchumba
go GS gooooooooooooooooooooooooooo!
Charity usiseme hivyo? kwani wenye sifa ambazo GS kazitoa anazo huyo huyo mtu X? wapo wengi, yeye kaenda huko...hata mimi namfaham twin wa bht lakini bado ninamuhitaji yeye bht na si twin....
Unadhani GS ni mtu wa kwanza kupenda online? tupo wengi, na mbaya zaidi pale unaposoma post za huyo mtu........Wengine huwaga tunandikaga vya kweli
Preta.........................Okoa jahazi....Do the needfull
Nimekupa thanks, angalia!Men, this is serious, nadhani BHT atakuwa amekusikia.
BHT ukiona mwanaume anaongea hivyo ujue ni mwanaume special, anayeweza kusema anacho-feel bila woga, anajiamini na he cana make a good hubby. Japo sina uhakika wa penzi la temporary analotaka, nauhakika unaweza kum-consider in future. haya mambo yanataka nafasi na BM anaonekana ana nafasi, japo yuko desparate kidogo...(anataka joto la ghafla) nimeandika kwa chaki hapo.
Kama mtaalamu mashauri wa mambo ya uhusiano, nakushauri ulifikirie hili kw makini usimkwaze Bala.
Men, this is serious, nadhani BHT atakuwa amekusikia.
BHT ukiona mwanaume anaongea hivyo ujue ni mwanaume special, anayeweza kusema anacho-feel bila woga, anajiamini na he cana make a good hubby. Japo sina uhakika wa penzi la temporary analotaka, nauhakika unaweza kum-consider in future. haya mambo yanataka nafasi na BM anaonekana ana nafasi, japo yuko desparate kidogo...(anataka joto la ghafla) nimeandika kwa chaki hapo.
Kama mtaalamu mashauri wa mambo ya uhusiano, nakushauri ulifikirie hili kw makini usimkwaze Bala.
Mmmmmmmmmmmmmmmhhh, tutabaki wachache mwaka huuhata mimi ninawangu ninayemzimia.....siku zimebaki chache nimwambie
hata mimi ninawangu ninayemzimia.....siku zimebaki chache nimwambie
B hata wewe wa ukweli umeanza ku-side na shem BM.
sasa mimi nina mapenzi yangu ya kudumu na Bala, huyu shem hayo ya tempo mi sina na siwezi kumpa.
aftaroo bezni haligawanyiki.......
I love my applepie Bala!!!! and I will always do!!!!
Charity usiseme hivyo? kwani wenye sifa ambazo GS kazitoa anazo huyo huyo mtu X? wapo wengi, yeye kaenda huko...hata mimi namfaham twin wa bht lakini bado ninamuhitaji yeye bht na si twin....
Unadhani GS ni mtu wa kwanza kupenda online? tupo wengi, na mbaya zaidi pale unaposoma post za huyo mtu........Wengine huwaga tunandikaga vya kweli
hahaaaaaaa lol!!!
afu wakwetu huna hata haja ya kumwambia anajua sana yule!!!! hata yeye siku zimebaki chache tu.....alinimbia mwenyewe
+255 au ? tunaanzaje, haki tena nitaenda hewani mkuu Bigirita....iandike yote, calling from somewhere nje ya TZ. Balantanda asichukie, nasikia hana namba yake!!!0713 932 5.
BM mwendee hewani sasa.