Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
kupenda daima hakuna macho wewe ndiyo mwenye macho sasa anza kuona unamjua
then tengeneza uwazi na umwabie wazo lako juu yake,
 
tuwekee picha yako hapa kwanza tukusaminishe! mkono mtupu haulambwi!
 
tuwekee picha yako hapa kwanza tukusaminishe! mkono mtupu haulambwi!

ha ha ha kama una interest mkuu una PM tu picha zitatumwa we unataka watu waanza kuchambua mpaka kidole hapa?
 
ha ha ha kama una interest mkuu una PM tu picha zitatumwa we unataka watu waanza kuchambua mpaka kidole hapa?
yeah kama yeye kaweka wazi kwamba anampenda basi atuwekee picha yake tuthaminishe...fahari ya macho haifilisi duka....!
 

Asa jina lenyewe Baba Mkubwa unafikiri inakuwaje mkuu; reflection yake ni turn off tosha!
 
Jamani am serious in love with this person,nifanye mwenzenu naugua kwa mahaba,siko tayari kulikosa penzi lake..Naombeni mbinu zenu nifanyeje

Vipi kama ni huyu hapa pichani au ana 'undugu' na huyu?

 
Hi,

Pole sana,huyu jamaa analeta hadithi za Pwagu,maana yake uko kwenye ulimwengu wa kufikirika,unatupa tabu ukileta mada kama hii kwa wasomi wenzako na wanasaikolojia tunakuwa na wasiwasi kama akili iko kwenye mstari,maana yake hujielewi,

Mapenzi ni kitu kizuri lakini unapenda kwa kuona kwanza au kumtamani mtu ambaye umemuona umbile lake,

Sasa ndugu yangu huyo wa kwako ni ndoto za mchana.

Tuliza mawazo yako.

Elisante Yona
 

Umeongea ukweli kabisa.Nimeshawahi kuteseka sana na mapenzi haya ya kufikirika na sasa moyo wangu umekufa ganzi na siwezi kupenda.Si jambo jema sana.
 

Balantanda, isije kuwa sister kakuzimikia wewe, maana hata wewe uko nje ya Tz; Kusadikika ni Nji nyingine ati! Hebu uliza-uliza basi isijekuwa unamuua dada wa watu taratibu, na kama umeoa sema kabisa ili asijiingia kwenye mtego mwingine.
 
Balantanda, isije kuwa sister kakuzimikia wewe, maana hata wewe uko nje ya Tz; Kusadikika ni Nji nyingine ati! Hebu uliza-uliza basi isijekuwa unamuua dada wa watu taratibu, na kama umeoa sema kabisa ili asijiingia kwenye mtego mwingine.

Ibrah Ibrah!!!!
mwenzio moyo wangu unadundia hapo hapo
 
Mkuu, unasisitiza kuwa trade mark ya BHT na pacha wake ni ya kwako, hivyo unaweza ku-authorise use of any of the two kama upendavyo?

Preta.........hebu do ze needful kwa Bala wakati BHT akijaribu kukagua kama BM anafaa kwa matumizi.

sikagui kitu hapa usijidanganye wewe B!!!!

Mi yangu macho tu................hahaaaaaaaaaaaaaa.......adh....Kweli mdogo wangu u king'ang'anizi

yaani mdogo wako ananishangaza leo!! inabidi tukae kama familia tuliongee hili kheee!!!
 
Ibrah Ibrah!!!!
mwenzio moyo wangu unadundia hapo hapo

Samahani Shem. Tumsaidieje GS? Maana Balantanda ndo huyo ana wake, Mwanakijiji naye anadai amewowa! GS, ni vema ukituwambia Wana Jamii ili tukupe ushauri wa kikweli usije ukafa bure.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…