Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
:drum😛atamu ati. Mleta hoja katoa hoja. ifungwe basi watu wasiendelee kusingiziana. kupenda sio kosa, wawezashba kwa macho tu au hata kwa saikologia.
 
Mzee Mwanakijiji, huyo anayependwa ni dada au kaka? mbona kasema hajui kama "ameoa ama la?"

wewe bwana vp??????............ushasema amesema hajui km ameoa ama la...sa kitendo cha kuoa ni cha kike au kiume?...........kiswahili nehi au? ebu nijibu.............nani anaoa kati ya juma na asha.....................nanani anaolewa kati ya robert na sandra?
 
watu mnafurahisha sana ..JF kisima cha Burudani..
 
mmh shost mbona issue ako its so simle??...... we chaukua contacts za ilo gazet sjui makala sjui ninini then jifanye u nid some assistant in certain issue.....then ye atakwambia tuwasiliane..along thew way sasa urafiki baina yenu utaanza kuwepo thru ayo mawasiliano na po ndo utajua km ameoa ama lah....umwambie au usimwambie coz uenda umempnda coz HE IOZ GOOD UPSTAIRS .bt mambo mengine unaweza kugundua ni balaa...
jifanye dent wa mastaz iv then unafanya research flan so u thnk data flan aliozozitoa mwaka jana desemba zitakusaidia km vip akufafanulie zaidi then akutumie kweenye email ako apo itakua poa kabisa......
contacts zake utzpata kwa kuchek adres za gazet thebn piga ulizia uyo mkwandishi....................
nimechoka kuandika bibi weeeeeeeeeee....:angry:!!!!!!!!!!!!
 
mmh, bora umtaje bibie uliemzimikia ili uondoe ushindani mapemaa, usijekuta wapo kama mia wanaomzimikia na anaowazimikia, sasa ikaja kuwa case badaae. sema ili tujue fulani shemeji yetu ili tumpe heshima yake. hongera kwa ujasiri lakini mama, kweli gender sensitive.
 
mmh shost mbona issue ako its so simle??...... we chaukua contacts za ilo gazet sjui makala sjui ninini then jifanye u nid some assistant in certain issue.....then ye atakwambia tuwasiliane..along thew way sasa urafiki baina yenu utaanza kuwepo thru ayo mawasiliano na po ndo utajua km ameoa ama lah....umwambie au usimwambie coz uenda umempnda coz HE IOZ GOOD UPSTAIRS .bt mambo mengine unaweza kugundua ni balaa...
jifanye dent wa mastaz iv then unafanya research flan so u thnk data flan aliozozitoa mwaka jana desemba zitakusaidia km vip akufafanulie zaidi then akutumie kweenye email ako apo itakua poa kabisa......
contacts zake utzpata kwa kuchek adres za gazet thebn piga ulizia uyo mkwandishi....................
nimechoka kuandika bibi weeeeeeeeeee....:angry:!!!!!!!!!!!!

Keshaweka wazi kuwa yupo hapahapa JF.Sio wa kwenye magazeti.
 
GS.....Samahani kama nimekukwaza...hata hivyo nina uhakika na kauli niliyoisema,kuna thread ulikiri kwamba wewe ni SHE..nitaitafuta niilete hapa kama kiambatisho....Hata hivyo post yako mama kwenye thread hii inadhihirisha kwamba u mwanamke(labda iwe ni yale mahusiano ya kisasa

"Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua kwamba nimefall in love na mtu ambaye sijawahi kumuona,sijui yeye ni nani,ana umri gani,kabila lake,ameoa ama la,ana mchumba ama la kifupi ni kuwa simfahamu kabisa.Huyu mtu nimchambuzi wa mambo mbalimbali ya siasa,uchumi n.k. Na kwa bahati mbaya sana tunaishi mbali mi niko Tz mwenzangu yuko nje ya nchi wala sijui yuko nchi gani.''

Kazi njema

Balantanda,salamu.ukinitafutia hiyo sredi niliyosema mimi ni She nitafurahi na kushukuru sana...Mimi ni Gender Sensitive natetea uonevu wa jinsia yeyote ile...Sina upande when it comes to jinsia.
 
heheeeeee GS ulitukimbia eeh!!!

pg 11 mi hata hujaniridhisha bado best yangu

bht.Hata sikuwakimbia nimajukumu ndio yaliyonifanya niwe mbali..Haina maana kuanzisha sredi kuomba ushauri and then ukimbie.Kwa kweli nimejibu kwa kadiri ya uwezo wangu kama sijkuridhisha basi tena sina jipya majibu yangu ni yale yale hayatabadilika.Najua siwezi kuridhisha kila mtu kwani tayari watu tuna negativity ambazo tumeshazijenga hivyo sio rahisi kukubaliana na majibu yangu.Msalimie sana Balantada natamani kumuona,ha ha ha.
 
Ndugu zangu,nawashukuru wote mliochangia sredi hii.Kwanza niombe radhi kuwa sikuweza kufuatilia mjadala huu ulipokuwa unajadiliwa kwa mapana yake asubuhi na mchana wa leo.Nilikuwa bize kidogo na kikao na Msajili wa Vyama vya Siasa,John Tendwa kujadili Tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwezi oktoba mwaka jana,kilichofanyika Markhamu Hotel Mikocheni jijini Dar.Nilipata fursa kidogo mchana nikapita jukwaa hili kwa dakika chache and then nikatakiwa kushiriki kwenye function ya Fredrich Ebert Stiftung(FES),shirika la Kijerumani ambapo leo ilikuwa ni Patner's Day kwa shirika lao na walikuwa wanafanya evaluation kuhusu program zao.Hivyo nilibanwa siku nzima..Nimepata fursa ikabidi nipitie michango yenu.

Kuna mambo kadhaa yamejitokeza,
1. Kuna watu waliotoa ushauri kama nilivyoomba,hawa ninawashukuru sana tena sana..ushauri wenu nimeuzingatia na nitafanya kama mlivyonielekeza..Nitfanya mawasiliano na jamaa kwanza halafu baadaye ndio nitamwambia..nasikitika jamaa mwenyewe wala hajapita jukwaa hili siku ya leo,maana sijaona mchango wake kwenye sredi hii..Nitawajulisha mambo ya kitiki.
2. Kuna watu wameibuka na kunisingizia kwamba mimi niliwahi kutamka kwenye jukwaa hili kwamba mimi ni She-sijawahi kusema hivyo I stand to be corrected..Balantanda umenisingizia..
3.Kuna watu wamehisi kuwa jamaa aliyedondokewa ni Mwanakijiji,Mmekosea kabisa,Give me a break to fall in love kwa Mzee,aah wapi hilo haliwezekani.JF ina wachambuzi wengi wa siasa,uchumi n.k kama vile Rev Kishoka,Ndege ya Uchumi,Waberoya,Tumaini,Pasco,Ben to mention the least.Kwanini awe Mzee huyu?
4.Kuna watu wamesema sredi hii ni stori.Huyu amekosea-Second nini sijui anajiita huyu mtu-Mkuu it is not a story rather ni kisa cha kweli..Believe me.
5.Kuna watu wamesema mapenzi ya facebook,sijui online ni upuuzi,lakini ukweli ndio mwenzeni i have fallen in love,katika hali kama hii I have to face the challenges...
6.Kuna watu wamesema Chat room imeleta mambo,si kweli kabisa,chat room imeanza juzi.Nilimpenda huyu jamaa kabla hata sijawa mchangiaji wa JF,nikiwa kama msomaji tu..

Nadhani nimeeleweka kwa sasa..kama kuna nililosahau nikumbusheni tafadhali..

Thanks once again.

Haya mama ngoja tukuache na secret admire wako...juhudi zako tu ndo zitakusaidia kuvuka mto
 
bht.Hata sikuwakimbia nimajukumu ndio yaliyonifanya niwe mbali..Haina maana kuanzisha sredi kuomba ushauri and then ukimbie.Kwa kweli nimejibu kwa kadiri ya uwezo wangu kama sijkuridhisha basi tena sina jipya majibu yangu ni yale yale hayatabadilika.Najua siwezi kuridhisha kila mtu kwani tayari watu tuna negativity ambazo tumeshazijenga hivyo sio rahisi kukubaliana na majibu yangu.Msalimie sana Balantada natamani kumuona,ha ha ha.

aaah best hapo kwenye red acha bana!!!!

usijali my dear ni kweli kumridhisha kila mtu bado ngumu, ila najua kiu ya wengi wwetu humu ni kujua tu huyo ulomzimikia nani?? (its only a wish though)
 
aaah best hapo kwenye red acha bana!!!!

usijali my dear ni kweli kumridhisha kila mtu bado ngumu, ila najua kiu ya wengi wwetu humu ni kujua tu huyo ulomzimikia nani?? (its only a wish though)

yah kama mimi nimeumiza kichwa sana kumjua....wakwetu nilikuambia anaweza kuwa ndege ya uchumi ukabisha, umeona hata yeye mwenyewe kamtaja kule pg 11...anaweza kuwa ndiye ujue
 
aaah best hapo kwenye red acha bana!!!!

usijali my dear ni kweli kumridhisha kila mtu bado ngumu, ila najua kiu ya wengi wwetu humu ni kujua tu huyo ulomzimikia nani?? (its only a wish though)

Haya bana nimekubali..Mambo ya kitiki mtamfahamu..Ha ha ha ha!
 
yah kama mimi nimeumiza kichwa sana kumjua....wakwetu nilikuambia anaweza kuwa ndege ya uchumi ukabisha, umeona hata yeye mwenyewe kamtaja kule pg 11...anaweza kuwa ndiye ujue

hhaaaaaa cutie we sheikh siku hizi eeh, nimemfikiria mzee wa miale sasa hivi, nikasema wa kwetu might probably be right!!!
 
GS my dear;

Just for my personal interest are you HE or SHE?

I am HE if you wanna know.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom