Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Bodaboda wa hapa mjini wana mentality moja ya kijinga sana.! Wanapokuwa barabarani they always act in this kind of foolish attitude " Tupo wengi ukinizingua ntaenda kuwaita wenzangu tutakuzingua"

Leo wakati narudi home " barabara" ya vumbi nimekutana na bodaboda mmoja yupo overspeed. Nikammwepa akaenda kugonga ukuta. Natoka nje ya gari jamaa ananifuata na kuanza kunimind huku ananitukana matusi ya nguoni kwamba mimi ndio nimesababisha yeye apate ajali. Wakati yote hayo yanatokea tayari watu walikuwa wameshaanza kujaa na walimuona wakati anakimbiza pikipiki yake .

Nadhani jamaa alipata ujasiri wa kunitukana baada ya kuona mavazi niliyokuwa nimevaa " Nilikuwa nimevaa kikristu" jamaa akaona hawa ndio walewale wakina Mathayo.


Nilimpa mshindo ( ngumi) wa nguvu mtu bidu chali kisha akaanza kutikisa kichwa kama bata kapigwa na manati.

Niliogopa sana nilidhani nimeua. Jamaa akatulia chini for like 10 minutes then baada ya hapo akanyanyuka akakaa. Nikazuga kama nataka kuendelea kumpiga fasta akaanza kutoa wosia ( Kaka ugomvi sio mzuri kaka and blah blah )
Eneo la tukio sio mbali na kijiweni anako park huyo unlucky bodaboda. Muda si mrefu wakaja bodaboda kikundi wakiwa na mwenyekiti wao kujua what is going on.

Jamaa alipo waona wenzake akapata nguvu akasimama na kuanza kuongea huku akiwa analia kwamba eti nimemuonea .


Unbeknownst to him mimi ni mmoja kati ya wadhamini wakuu wa Bodaboda Fc wa mtaani kwetu na bodaboda wananifahamu na kuniheshimu kupita maelezo.

Jamaa ni mgeni ndio maana hakuweza kunifahamu am sure as hell kama angekuwa ananijua asinge act that fun crazy.

Nilifanya kazi ya ziada kuwashawishi baadhi ya boda boda wasiendelee kumpa kisago ( They were like unamzingua broo?)

Nyie boda boda sikieni maneno haya.

Kwanza najua wengi wenu mmetoka mkoa, mkifika mjini jifunzeni kuwa wajanja wajanja kidogo.

Hapa mjjni ukiona kijana ana nyumba, gari na vihelahela kidogo usi mtreat kinyonge.

Kwa sababu kwanza ana akili nyingi kuliko wewe ( Pesa inatafutwa kwa akili kwa hiyo amekuzidi akili )

Usiwe fooled na kampani ya bodaboda wenzako. Hawa mabroo wenye vihela hela wanakuwaga na " connection " na moja kati ya connection wanazo kuwaga nazo ni pamoja na " watoto wa mbwa" ambao ni wakorofi kuliko wewe na kampani yako.
 
Huenda nikaonekana tofauti kidogo na watu ila kusema ukweli wa moyo Safi sana.

Hawa majanki wanakosa sana nidhamu barabarani wanachojiaminisha nikua wao wako sawa masaa yote, na kuamini kwenye uwingi wao.wanashindwa kuelewa kua kuna watu ni makontawa kwenye hii miji.
 
Huenda nikaonekana tofauti kidogo na watu ila kusema ukweli wa moyo Safi sana.

Hawa majanki wanakosa sana nidhamu barabarani wanachojiaminisha nikua wao wako sawa masaa yote, na kuamini kwenye uwingi wao.wanashindwa kuelewa kua kuna watu ni makontawa kwenye hii miji.
Yeah huwa wanazingua sana hawa jamaa wanadhani kila anae drive gari ni fala fala hawezi kupigana
 
Kuna mmoja alinisababishia ajali, alinigonga gari bado mpya nimepewa ina wiki tatu tu.
Yaani sina hamu nao kabisa..
Unge mtaiti mkuu hawa jamaa ukipeleka majeshi huwa wanatuliaga
 
Back
Top Bottom