Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
This is JamiiForums
Kila mtu ana nyumba ya gharama na gari kali toka Ujerumani
Kila mtu ana nyumba ya gharama na gari kali toka Ujerumani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sie wengine hatuna magari ila tunachangia mkuu[emoji28][emoji28]naona huu uzi ni wa wenye magari,mabodaboda watapita kando.Ila na sisi tusio na magari mnatupa morali ya kumiliki vyuma siku moja.Maana wajanja wanakuambia "hate or get inspired"
Insurance....... Au haukukata ile kuuubwaKuna mmoja alinisababishia ajali, alinigonga gari bado mpya nimepewa ina wiki tatu tu.
Yaani sina hamu nao kabisa..
Wakati huo alikua anasali kimoyo kimoyoUmeona chai? Mimi nimejiuliza eti dakika kumi mtu yupo chini, wakati huo ni nini kilikuwa kinaendelea?
Unamiliki gari ya aina gani kwani? vile vidogo? au zile kubwa za "ujerEmani"?Hivi wanamuda kweli wakutembelea jf na uvumilivu wa kusoma maneno marefu kiasi hiki
Mimi kuna mmoja alinigonga kwenye tuta nikamtaiti cha kulipa hana nikasepa na simu.Kuna mmoja alinisababishia ajali, alinigonga gari bado mpya nimepewa ina wiki tatu tu.
Yaani sina hamu nao kabisa..
Shati la njano na suruali nyekundu na viatu mokasini nyeupe na tai nyeusiKikristo ndio kuvaaje jomoniii🙄🙄