Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu km mtu ameku-kosakosa afu bado anakuja juu kwa matusi na pia anaonekana dhahiri anataka kupgana, ukimuacha si dhambi kabsa. Maana unyonge ni dhambi
Habari za kinondoni mkuu? Vipi kwema? Riport yenu tunayo!!Itabidi na mimi nijitahidi ninunue gari aise,maana humu jamii forum peke yangu ndo sina gari
Leo gym zote kinondoni zimejaa mkuu,wakina mama wa mihogo ,nazi na karanga mbichi kwao neema tuHabari za kinondoni mkuu? Vipi kwema? Riport yenu tunayo!!
Itabidi na mimi nijitahidi ninunue gari aise,maana humu jamii forum peke yangu ndo sina gari
Yani ukisoma baadhi ya thread au comment za watu humu jukwaani unaweza hisi wewe peke yako ndo unapanda daladala au umepanga,kila mtu humu ana mansion kali,good car ana kazi ya maana sijawahii ona fundi pikipiki au bodaboda humuHili suala kiubinafsi linanishangazaga sana hapa jf .hahaha yaan wat wanataka upretend umaskini..sijui wanataka uishi fake mradi wwnyew wafurah..mkuu hv hayo magari yoote unayoyaonaga barabaran ..huhis kuwa baadhi wamiliki watakua humu jaman..😅😅😅😅😅...ila umaskini kwel sio mzuri..tuzidi kuuchukia..kuwa na gari sio deal bwana .
Bodaboda wa hapa mjini wana mentality moja ya kijinga sana.! Wanapokuwa barabarani they always act in this kind of foolish attitude " Tupo wengi ukinizingua ntaenda kuwaita wenzangu tutakuzingua"
Leo wakati narudi home " barabara" ya vumbi nimekutana na bodaboda mmoja yupo overspeed. Nikammwepa akaenda kugonga ukuta. Natoka nje ya gari jamaa ananifuata na kuanza kunimind huku ananitukana matusi ya nguoni kwamba mimi ndio nimesababisha yeye apate ajali. Wakati yote hayo yanatokea tayari watu walikuwa wameshaanza kujaa na walimuona wakati anakimbiza pikipiki yake .
Nadhani jamaa alipata ujasiri wa kunitukana baada ya kuona mavazi niliyokuwa nimevaa " Nilikuwa nimevaa kikristu" jamaa akaona hawa ndio walewale wakina Mathayo.
Nilimpa mshindo ( ngumi) wa nguvu mtu bidu chali kisha akaanza kutikisa kichwa kama bata kapigwa na manati.
Niliogopa sana nilidhani nimeua. Jamaa akatulia chini for like 10 minutes then baada ya hapo akanyanyuka akakaa. Nikazuga kama nataka kuendelea kumpiga fasta akaanza kutoa wosia ( Kaka ugomvi sio mzuri kaka and blah blah )
Eneo la tukio sio mbali na kijiweni anako park huyo unlucky bodaboda. Muda si mrefu wakaja bodaboda kikundi wakiwa na mwenyekiti wao kujua what is going on.
Jamaa alipo waona wenzake akapata nguvu akasimama na kuanza kuongea huku akiwa analia kwamba eti nimemuonea .
Unbeknownst to him mimi ni mmoja kati ya wadhamini wakuu wa Bodaboda Fc wa mtaani kwetu na bodaboda wananifahamu na kuniheshimu kupita maelezo.
Jamaa ni mgeni ndio maana hakuweza kunifahamu am sure as hell kama angekuwa ananijua asinge act that fun crazy.
Nilifanya kazi ya ziada kuwashawishi baadhi ya boda boda wasiendelee kumpa kisago ( They were like unamzingua broo?)
Nyie boda boda sikieni maneno haya.
Kwanza najua wengi wenu mmetoka mkoa, mkifika mjini jifunzeni kuwa wajanja wajanja kidogo.
Hapa mjjni ukiona kijana ana nyumba, gari na vihelahela kidogo usi mtreat kinyonge.
Kwa sababu kwanza ana akili nyingi kuliko wewe ( Pesa inatafutwa kwa akili kwa hiyo amekuzidi akili )
Usiwe fooled na kampani ya bodaboda wenzako. Hawa mabroo wenye vihela hela wanakuwaga na " connection " na moja kati ya connection wanazo kuwaga nazo ni pamoja na " watoto wa mbwa" ambao ni wakorofi kuliko wewe na kampani yako.
[/QUOTE
Mkuu huku sidhani kama wapo,ujumbe ungewafikia wengi kama ungepost kule Facebook kwao.
Ila wanamambo ya kipuuzi sana pamoja na hayo achana na blah blah ya vihela na vigari hata ujumbe ungefika tu Mkuu.
Anamaanisha kiislam (kanzu)Kikristo ndio kuvaaje jomoniii[emoji849][emoji849]
Hivi sisi watu wa mkoa tumewakosea nini nyie wanaume wa Daslamu?hivi mkuu wenu wa mkoa si katoka Kolomije lakini au?Bodaboda wa hapa mjini wana mentality moja ya kijinga sana.! Wanapokuwa barabarani they always act in this kind of foolish attitude " Tupo wengi ukinizingua ntaenda kuwaita wenzangu tutakuzingua"
Leo wakati narudi home " barabara" ya vumbi nimekutana na bodaboda mmoja yupo overspeed. Nikammwepa akaenda kugonga ukuta. Natoka nje ya gari jamaa ananifuata na kuanza kunimind huku ananitukana matusi ya nguoni kwamba mimi ndio nimesababisha yeye apate ajali. Wakati yote hayo yanatokea tayari watu walikuwa wameshaanza kujaa na walimuona wakati anakimbiza pikipiki yake .
Nadhani jamaa alipata ujasiri wa kunitukana baada ya kuona mavazi niliyokuwa nimevaa " Nilikuwa nimevaa kikristu" jamaa akaona hawa ndio walewale wakina Mathayo.
Nilimpa mshindo ( ngumi) wa nguvu mtu bidu chali kisha akaanza kutikisa kichwa kama bata kapigwa na manati.
Niliogopa sana nilidhani nimeua. Jamaa akatulia chini for like 10 minutes then baada ya hapo akanyanyuka akakaa. Nikazuga kama nataka kuendelea kumpiga fasta akaanza kutoa wosia ( Kaka ugomvi sio mzuri kaka and blah blah )
Eneo la tukio sio mbali na kijiweni anako park huyo unlucky bodaboda. Muda si mrefu wakaja bodaboda kikundi wakiwa na mwenyekiti wao kujua what is going on.
Jamaa alipo waona wenzake akapata nguvu akasimama na kuanza kuongea huku akiwa analia kwamba eti nimemuonea .
Unbeknownst to him mimi ni mmoja kati ya wadhamini wakuu wa Bodaboda Fc wa mtaani kwetu na bodaboda wananifahamu na kuniheshimu kupita maelezo.
Jamaa ni mgeni ndio maana hakuweza kunifahamu am sure as hell kama angekuwa ananijua asinge act that fun crazy.
Nilifanya kazi ya ziada kuwashawishi baadhi ya boda boda wasiendelee kumpa kisago ( They were like unamzingua broo?)
Nyie boda boda sikieni maneno haya.
Kwanza najua wengi wenu mmetoka mkoa, mkifika mjini jifunzeni kuwa wajanja wajanja kidogo.
Hapa mjjni ukiona kijana ana nyumba, gari na vihelahela kidogo usi mtreat kinyonge.
Kwa sababu kwanza ana akili nyingi kuliko wewe ( Pesa inatafutwa kwa akili kwa hiyo amekuzidi akili )
Usiwe fooled na kampani ya bodaboda wenzako. Hawa mabroo wenye vihela hela wanakuwaga na " connection " na moja kati ya connection wanazo kuwaga nazo ni pamoja na " watoto wa mbwa" ambao ni wakorofi kuliko wewe na kampani yako.
Yani ukisoma baadhi ya thread au comment za watu humu jukwaani unaweza hisi wewe peke yako ndo unapanda daladala au umepanga,kila mtu humu ana mansion kali,good car ana kazi ya maana sijawahii ona fundi pikipiki au bodaboda humu
Mbona unapenda kuchukulia mambo serious sana ,ndo maana nikasema na mimi nitanunua ka gari all in all hakuna mtu anaye mchukia tajiri duniani hapa lazima maisha yawe na madaraja.....what i said ni kuwa humu ndani kumbe kila mtu ana gari sijawahi kuona comment au thread ya fundi pikipiki,sasa hapo kwani nimekata humu hamna matajiri?au umetafsiri vp mkuu?Ni ww tu na unavyofeel..haha hata km wanadanganya kwan ww unaugua...chill take easy..binafsi Jf nimekutana na matajiri mno mno...!ifike hatua tukubali tu na hali halisi..!nyie ndo wale unamuona jirani yako amekwama na gari anaslide tu mnafurahiiiii😅😅..moyo unakuwa una amanii...hv kwann wabongo tuko hvi?mnabaki chungulia madirishani mnajisema akome😏😏😊...huo ndo ukwel..huna gari fight upate..ila ukitaka kusikia kila mtu bodaboda utasubiri saaana!
Hata ww badilika!jali maisha yako😅
Mbona unapenda kuchukulia mambo serious sana ,ndo maana nikasema na mimi nitanunua ka gari all in all hakuna mtu anaye mchukia tajiri duniani hapa lazima maisha yawe na madaraja.....what i said ni kuwa humu ndani kumbe kila mtu ana gari sijawahi kuona comment au thread ya fundi pikipiki,sasa hapo kwani nimekata humu hamna matajiri?au umetafsiri vp mkuu?
Na yeye angenigonga ningekufa je?mfano ukampiga akafa !
Wewe tu na negativity zako. Katika uzi unaaongoza kuchangiwa humu wa nyumba za kupanga ni mmoja upo humu na members humu wanaelezea experience zao za kuishi nyumba za kupanga. Pia kuna uzi wa vituko vya daladala na unachangiwa sana na members humu wanaandika experience zao.Yani ukisoma baadhi ya thread au comment za watu humu jukwaani unaweza hisi wewe peke yako ndo unapanda daladala au umepanga,kila mtu humu ana mansion kali,good car ana kazi ya maana sijawahii ona fundi pikipiki au bodaboda humu
Na yeye angenigonga ningekufa je?
Wewe tu na negativity zako. Katika uzi unaaongoza kuchangiwa humu wa nyumba za kupanga ni mmoja upo humu na members humu wanaelezea experience zao za kuishi nyumba za kupanga. Pia kuna uzi wa vituko vya daladala na unachangiwa sana na members humu wanaandika experience zao.