Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje kuwa mimba ni yako?
Kwani mume wake alikuwa wapi, au alifungwa.
Tabia ya kula wake za watu tena wa mtaa mmoja siyo nzuri,
utakuja kuuwana.
Ila uwezo wa kunipeleka mahakamani anao au hana..?
Hiyo haiwezi kutokea mkuu
Najilaumu sana ningejua mapema nisingefanya ujinga huu
Imetokea tu bahati mbaya
Ila uwezo wa kunipeleka mahakamani anao au hana..?
You are a dead man. Unless mume wake mpole kuliko mimi.
Yani unauliza uwezo wa kukushtaki badala ujipange jinsi atakavyoliwa tigo hadharani...unacheza na mke wa mtu wewe
Jipange kuliwa kiboga na wewe. Utawafungulia madume na wewe hilo lango lako la taka na koni utakula, na picha utapigwa na watu watajua, aibu utakuwa nayo. Huyo ndugu anajipanga tu weee subiri. Unakula vya watu alafu unadai unatafuta msaada wa kisheria? Kachonge chupi ya chuma, funga kisha funguo imeze.
Nitakuwa navaa ngozi ndani ya nguo ili hata akipiga mshale usitoboe