Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Ulifanya kosa kubwa sana kumpiga kwasababu wewe mwenyewe ni Kicheche hujatulia unachepuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
women brain installationUvulana ni hatua tu ya utoto uliokomaa ila uanaume ukishajengeka ktk akili yako itakuwa kawaida sana kufanya women brain installation hata kwa makofi bila kuumia.
Mada za mishiko?Leteni Mada za Kiuanaume.
Eti..hizi zimekaa kingese ngese..mtu hujamuoa unamchepukia...hlf unampigaLeteni Mada za Kiuanaume.
Ha ha ha haLeteni Mada za Kiuanaume.
Hili lijamaa ni litoto😬Ilikua siku ya juzi maeneo X,,, mpenzi wangu aliniaga analala baada ya mimi kumwambia starudi nyumbani kwa sababu nina emergency,, kwakua alihisi namdanganya na ninaenda kwa mchepuko na ilikua kweli...
Huyu mdada anaishi kwake na mimi naishi kwangu, ila mda mwingi hua anapenda akae na mimi saivi tunaanza mwaka wa 2 kwenye mahusiano,
Baada ya kuniaga analala kumbe hakulala kawasindikiza marafiki zake, mida ya saa 5 usiku niko na mchepuko nampgia simu rafiki yake kasema wako wote...
moja kwa moja nkajiseme huyu bado yuko macho... jana yake asbui ikabidi niptie kwake,, nilvomuuliza jana usku alkua wapi akanijibu kejeli nkaishia kumpa kipigo heavy...
Baada ya kumpga jana asbui mida ya saa 3... jion nmemuomba msamaha.. kanisamehe,, marafiki zake wa kike kama wanne walkua wanapiga simu utadhani nmeua,, kanisamamehe nmemuaidi starudia tena.. ila roho imeniuma kumkosesha amani mpenzi wangu kwa makosa yangu mwenyewe... na istoshe tunadate tu
Uko darasa la ngapi?kanisamehe huku analia maana aliniambia nkimpiga ananiacha ila kanisamehe dah imeniuma na ndo mtu ananisaidia imeniuma sana kumpa stress