Nimempiga mpenzi wangu, roho iliniuma

Nimempiga mpenzi wangu, roho iliniuma

Ulifanya kosa kubwa sana kumpiga kwasababu wewe mwenyewe ni Kicheche hujatulia unachepuka.
 
Uvulana ni hatua tu ya utoto uliokomaa ila uanaume ukishajengeka ktk akili yako itakuwa kawaida sana kufanya women brain installation hata kwa makofi bila kuumia.
women brain installation

hahahhaha yaani JF ni kiboko ingine
 
Yaan wanaume bhana ,yaan we umeenda kumcheat hafu katoka tu na marafik zake unampiga??
 
Sasa hapa unataka tufanye nini... Umempiga nabumejua ulikosea na amekuomba msamaha uanataka sisi tufanyeje [emoji1664][emoji1664][emoji1664][emoji1664]
 
Ilikua siku ya juzi maeneo X,,, mpenzi wangu aliniaga analala baada ya mimi kumwambia starudi nyumbani kwa sababu nina emergency,, kwakua alihisi namdanganya na ninaenda kwa mchepuko na ilikua kweli...

Huyu mdada anaishi kwake na mimi naishi kwangu, ila mda mwingi hua anapenda akae na mimi saivi tunaanza mwaka wa 2 kwenye mahusiano,

Baada ya kuniaga analala kumbe hakulala kawasindikiza marafiki zake, mida ya saa 5 usiku niko na mchepuko nampgia simu rafiki yake kasema wako wote...

moja kwa moja nkajiseme huyu bado yuko macho... jana yake asbui ikabidi niptie kwake,, nilvomuuliza jana usku alkua wapi akanijibu kejeli nkaishia kumpa kipigo heavy...

Baada ya kumpga jana asbui mida ya saa 3... jion nmemuomba msamaha.. kanisamehe,, marafiki zake wa kike kama wanne walkua wanapiga simu utadhani nmeua,, kanisamamehe nmemuaidi starudia tena.. ila roho imeniuma kumkosesha amani mpenzi wangu kwa makosa yangu mwenyewe... na istoshe tunadate tu
Hili lijamaa ni litoto😬
 
Back
Top Bottom