Nimempiga mpenzi wangu, roho iliniuma

Ulifanya kosa kubwa sana kumpiga kwasababu wewe mwenyewe ni Kicheche hujatulia unachepuka.
 
Uvulana ni hatua tu ya utoto uliokomaa ila uanaume ukishajengeka ktk akili yako itakuwa kawaida sana kufanya women brain installation hata kwa makofi bila kuumia.
women brain installation

hahahhaha yaani JF ni kiboko ingine
 
Yaan wanaume bhana ,yaan we umeenda kumcheat hafu katoka tu na marafik zake unampiga??
 
Sasa hapa unataka tufanye nini... Umempiga nabumejua ulikosea na amekuomba msamaha uanataka sisi tufanyeje [emoji1664][emoji1664][emoji1664][emoji1664]
 
Hili lijamaa ni litoto😬
 
kanisamehe huku analia maana aliniambia nkimpiga ananiacha ila kanisamehe dah imeniuma na ndo mtu ananisaidia imeniuma sana kumpa stress
Uko darasa la ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…