antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Maana yake wewe ni mchepuko wake (yaani mpango wa kando).Kwema wakuu,
Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
Huyo aliyepokea simu ndiye mmiliki