Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

Nilivyokusoma inawezekana hata chanzo cha ugomvi ni yeye!!!
 
Kwema wakuu,
Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
Ushawahi kumla 0715?
 
Kama hutaki kujikaza utakazwa
 
Kuna kitu wengi hawajajua hatua (stages) za mwanamke kumwacha mwanamume. Hawa viumbe huwa wanatuacha akilini mwao mapema sana halafu baada ya hapo ni vitendo

●Hatua ya kwanza, anakuwa anakupotezea potezea. Kama alikuwa anakucheki kwenye text au call anapunguz sana

●Hatua ya pili, ni kunyimwa sex au kupewa kwa shida tofauti na zamani

●Hatua ya tatu, vitendo vya waziwazi au tamko la moja kwa moja kuwa mimi na wewe leo basi (kama mleta uzi amejikuta anaongea na mshikaji wa demu wake wa sasa)

Tangu mkiwa kwenye mahusiano mwanamke anajua nani anafuata baada yako mkiachana, kitu ambacho wanaume wengi hatuna

Kwako ndugu mleta uzi, akilini manzi alishakuacha kitambo ila haukutambua vitendo vyake ndio vimekuambia too late
Well said mkuu akaze moyo asonge mbele kama sio ugali
 
Kweli kabisa wanawake always have the next guy on standby so it is important wewe mwanaume kuwa na wanawake watatu at any given time. Usije fanya kosa la kuwa na mwanamke mmoja tuu.
 
Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
🎵Zile deal tulizofanya bhana hazijalipaaa
🎵Sasa tutafanyaje
🎵Zile deal tulizofanya bhana hazijalipaaa
🎵Mpaka kichwa kinaumaa
🎵aaaah eeh tutafanyaje
🎵Mpaka kichwa kinaumaa
 
Umeandika vizuri. Wengi huwa wanajisifu kumpiga mwanamke matukio na mwanamke hafanyi kitu, hawajui mwanamke anakuwa anakula zoezi la kumuacha kimya kimya

Sahihi mkuu ,unaachwa then unaambiwa
 
Kwema wakuu,
Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
Mwanakilifind mwanakuliget
 
Kwema wakuu,
Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
Huyo demu hakutaki na inaonyesha wewe ni kinganganizi.....kitendo Cha kumpa mwanaume mwingn uongeee naye ni ili ujue kuwa wewe huna nafasi tena kwak...........move on brother huyo ashakuwa malaya ndoige
 
Back
Top Bottom