Nimempigia simu, kapokea jamaa mwingine

Kwema wakuu,
Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
Maana yake wewe ni mchepuko wake (yaani mpango wa kando).
Huyo aliyepokea simu ndiye mmiliki
 
Umeandika vizuri. Wengi huwa wanajisifu kumpiga mwanamke matukio na mwanamke hafanyi kitu, hawajui mwanamke anakuwa anakula zoezi la kumuacha kimya kimya
 
Kwema wakuu,
Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
Duh pole sana mkuu jikaze tu hakuna namna
 
Kwema wakuu,
Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
Hatimae skull zinafunguliwa kesho....walimu mkatusaidie kuwanyoosha hawa wanafunzi wanaowaza mapenzi kuliko kusoma.
 
Kama unataka na wewe uwe unaambiwa wenzako hivyo achana na kupendapenda.
 
Mi demu wangu tushaachaga kupigiana simu. Ni mwendo wa text kama wanafunzi. Yaani kupigiana tunaweka appointment.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dah sio ya kucheka
 
Shukuruni Hata wanawake zenu wanapitia Process zote hizo ili kuwaacha.... Hawa wadada wa huku Dodoma utashangaa tu paap Meseji imeingia ya "Nakutakia maisha mema".
 
Mapenzi ni kama Teuzi haupaswi kuamini sana nafasi uliyopewa - Quote "Malaika wa Misukosuko"
 
Kwema wakuu,
Leo asubuhi nimempigia simu demu wangu ambaye tuna ugomvi kwa siku kadhaa. Kilichotokea ni kuwa kapokea jamaa anadai demu hataki kuongeza na mimi anadai nijikaze. Duh hapa nahisi kichwa kinauma balaa
Kwani ulimuoa?

Mnaambiwa oaneni hamtaki.

Ulimpataje wenzqko washindwe?

Kajitie kitanzi.
 
Siku nyingine utapiga simu usiku na utaambiwa "mke wangu kaenda kuoga ,"ulikuwa unasemaje...?

USHAURI

* achana na kubembeleza mwanamke, mfanye mwanamke apate shida yeye kwa ajili yako.

* Usiwe na mwanamke mmoja .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…