philantrhopist
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 415
- 706
Ni sehemu ya maisha mkuu vitu vingine hutezi zuia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana usihuzunike Sana yupo baba Wa Milele ambaye Ni Mungu Mkuu Yuko pamoja nawe siku zote DaimaNimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo.alikua kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana member mwenzetu, Mungu akutie nguvu na kumrehemu marehemu, yawezekana katika baadhi ya michango yako hapa ilichukua busara za Mzazi, si pigo kwako tu ni pamoja na jamii yetu piaNimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo.alikua kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo.alikua kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Akiondoka mzee wewe ndio unachukua nafasi ndio ukubwa huo jikaze mzee!Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo.alikua kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole mkuu.Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo.alikua kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu akupe nguvu na uvumilivu.Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi
Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana. usikate. TamaaNimempoteza baba yangu mzazi