TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

Dah sina cha kuandika kwa sasa nitarudi kama nitakuwa nacho.

Yote kwa yote Mungu aipokee roho ya Mzee ampumzishe kwa amani,pole sana ndugu yangu.
 
Pole Sana usihuzunike Sana yupo baba Wa Milele ambaye Ni Mungu Mkuu Yuko pamoja nawe siku zote Daima
 
Pole sana member mwenzetu, Mungu akutie nguvu na kumrehemu marehemu, yawezekana katika baadhi ya michango yako hapa ilichukua busara za Mzazi, si pigo kwako tu ni pamoja na jamii yetu pia
 

Pole sana sana mkuu
Mwenyezi Mungu akutie nguvu wakati huu
 
Akiondoka mzee wewe ndio unachukua nafasi ndio ukubwa huo jikaze mzee!
 
Pole mkuu.
Kuna majukumu aliyoacha bila kuyakamilisha,fanya kwa niaba yake.
 
Pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu akupe nguvu na uvumilivu.
 
Pole sana. usikate. Tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…