Nimemsaliti mpenzi wangu nifanyeje asahau?

Kwa hiyo Mkuu Tindikali, hapa tatizo la msingi ni magovi sio?:attention:
yani hata mie sielewi ndugu yangu, amesema baada ya hayo mananihii mengi ndo akatembea na rafiki yake... balaah hili
 
yeye anaona amefanya cha maanaaaa "kukomoa"...hajui wanaume hawakomoleki? anaendelea kujipa moyo kuwa jamaa bado anampenda sana na atatangaza uchumba dec, dec c ndio hii? atujie na taarifa njema hizo zikifanikiwa.. na akumbuke jamaa haumii bure anaweza fanyiwa revennge ambayo hakutegemea....wadada njue "WANAUME WAHAKOMOLEWI"
May I say I wish to be your husband??

to me this is the post of tthe year... ANZISHA CHUO CHA KUFUNDA AKINA DADA AISEE
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
Dhambi haifurahiwi hata siku moja nielewe utavyonielewa wewe ni mnafiki mkubwa na yawezekana hukuzaliwa kupenda bali ulizaliwa kupenda ngono zakipumbavu, kwa mimi usiambie kuwa unampenda huyo mtu, la shetani haliwezi kuliwakilisha la Mungu hata siku moja, wewe ni mwanafirauni, mjukuu wa ghafidhuna na haramu ndiyo bibi yako maana ulijua kuwa unalolifanya ni kosa harafu unataka kujaribu kulifanya liwe keki,
hapo siwezi kukushauri lolote, wewe ni mwana izaya tu, kama ungekuwa unampenda ungenfanyia vituko hivyo? ni nyi wanawake kjapo si wote hamna moiyo ya huruma wala mapenzi.
 
Hivi katika hali ya kawaida mtu ana magovi mangapi aisee.....jamaa sijui alikua ana.....!
 
nakuunga mkono ndugu yangu... na wala asitafute sababu wa update mara pombe, mara visasi sijui mara rafiki... ndvyo alivyo maskini ya mungu. bahati mbaya tu sikujua na umbeya nao juu, kaleta hadi huku aisee kwamba kapigwa kipara na mshikaji wa jamaa, halafu hapohapo tena anasema jamaaa anampena kichizi

inawezekana hata alipoandika hapo bado yuko chicha la kufa n'tu

BTW, amesema baada ya magovi mengi, sasa hapa ni kwamba anayafuma sana kitaa au jamaa yake ni kono la sweta?

Acid haahhaa....nadhani anamaanisha maugomvi.
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.

jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu

Maelezo yako yanajikanganya mno: Ushauri ni ufuatao.

1. Tambua kwa moyo wako wote kuwa hicho ulichofanya ni ushenz*

2. Inaonekana hujitambui, na huyo jamaa hupendi ila unataka kuendelea nae kwakuwa tu yeye anakupenda na katangaza ndoa.

3. Embu take time utafakari unataka nini, otherwise ninachokiona mbele ni kuwa mtaoana na utaendelea kumpa maumivu mshikaji, tena hayo ya ndani ya ndoa ndio atajiua kabisa, aiseh!

4. Embu mwache kijana wa watu aishi, ni afadhali ya hayo maumivu anayopata saa hizi kuliko hayo atakayopata utakapochakachua tena mkiwa ndani ya ndoa, tena sijui utachakachua na baba mkwe? manake hapo kwenye urafiki umeliwa na jamaa yake, nina wasiwasi kwenye ndoa baba mkwe ndio atagonga.

5. Ushauri wa bure, wewe pombe hazikufai, waachie akina Nyamayao na Preta wanaoweza kuzinywa na kubaki na akili zao, wewe mama inaonekana ukinywa bia mbili tu, ubongo unahamia huko "down-stairs" na kuanza kufikiria vikojoleo vya jinsia ya kiume. Sasa hapo yeyote aliye mbele yako twende kazi, natamani nikutane na wewe ukiwa umelewa th! th! th!
 
Ni mara mia hata usingeposti hii thread kwa ushauri wangu
 
Dhambi haifurahiwi hata siku moja nielewe utavyonielewa wewe ni mnafiki mkubwa na yawezekana hukuzaliwa kupenda bali ulizaliwa kupenda ngono zakipumbavu, kwa mimi usiambie kuwa unampenda huyo mtu, la shetani haliwezi kuliwakilisha la Mungu hata siku moja, wewe ni mwanafirauni, mjukuu wa ghafidhuna na haramu ndiyo bibi yako maana ulijua kuwa unalolifanya ni kosa harafu unataka kujaribu kulifanya liwe keki,
hapo siwezi kukushauri lolote, wewe ni mwana izaya tu, kama ungekuwa unampenda ungenfanyia vituko hivyo? ni nyi wanawake kjapo si wote hamna moiyo ya huruma wala mapenzi.

Mwinjilisti umeanza vizuri lakini umemalizia kwa hasira sana, huyo ni kondoo aliyepotea, muelekeze kwa

upole na baadae mchape injili ili arudi kundini. Yesu angekuwa mkali hivyo hata wale mitume 12 asingepata,

na asingeweza kuacha kanisa la watu 120 kabla ya kupaa kwake.
 
Kwa maana hiyo hapa naweza kusema siku akilewa anaweza kuwa laid down na mtu mwingine tena kama kisingizio ni pombe
 
yeye anaona amefanya cha maanaaaa "kukomoa"...hajui wanaume hawakomoleki? anaendelea kujipa moyo kuwa jamaa bado anampenda sana na atatangaza uchumba dec, dec c ndio hii? atujie na taarifa njema hizo zikifanikiwa.. na akumbuke jamaa haumii bure anaweza fanyiwa revennge ambayo hakutegemea....wadada njue "WANAUME WAHAKOMOLEWI"

Kiruuuuu
 
aaah... mama wa infii!!! mwambie huyo, hana haja ya pombe kutimiza nia

kiu yake tu aisee

Watu wengine bwana kutuharibia sifa za TBL tu kapanga mpaka wakaenda na jamaa akanywa nae halafu atusingizie TBL mwongo mkubwa huyu
 
yeye anaona amefanya cha maanaaaa "kukomoa"...hajui wanaume hawakomoleki? anaendelea kujipa moyo kuwa jamaa bado anampenda sana na atatangaza uchumba dec, dec c ndio hii? atujie na taarifa njema hizo zikifanikiwa.. na akumbuke jamaa haumii bure anaweza fanyiwa revennge ambayo hakutegemea....wadada njue "WANAUME WAHAKOMOLEWI"

Namshangaa eti anamkomoa mwanaume, Ha kakwambia nani wanaume wanakomoleka?? Tena usijethubutu kujidanganya mara ya pili kabisa ndugu utaumia hao viumbe waone hivyo hivyo tu. Halafu unajipa moyo anakupenda subira revenge yake utaisoma wewe ndo utaacha kazi na kujiua juu fanya mchezo na wanaume wewe mmmhh
 
Itabidi nayeye amtafute RAFIKI yako amchakachue mwende sawa! Unaonaje hilo??
 
pole ila mie nadhani uhusiano wenu una matatizo tangu awali, na wewe kumsaliti mpenzio,imeongeza tatizo juu ya matatizo..
usikubali kuolewa naye...sababu tangu awali personalities zenu zinaclash...
unasumbuliwa na guilty baada ya kumsaliti,ndio maaana unadhani unampenda...
likewise mpenzio is sooo hurt,and is feeling guilty as well labda andhania ndoa will make up for it...
cha kufanya nenda nae taratibu,kubali kuolewa naye lakini sio mapema,ili mjipe time kujua kama kweli mnapendana ama guilty conscious zinawasumbua....
huo muda hakikisha unajichunguza kama kweli unampenda,na kama kweli unampenda hakikisha unafanya linalowezekana kubuiild trust yake again,mtumie message za mapenzi ukimwambia jinsi unavyompenda mara kwa mara.....pia tumia muda wako mwingi kuwa naye huku ukimuonyesha mapenzi.....graduallly ataanza kukutrust!
vipi huyo mwingine baada ya kumegana naye,hajapenda mzigo au???:redfaces::redfaces:...hujampenda huyiu mwingine??????hata sie wanawake tunakuwaga na PLAN B ATIIIIII....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kucheat hujaanza wewe,learn to forgive yourself!
 
May I say I wish to be your husband??

to me this is the post of tthe year... ANZISHA CHUO CHA KUFUNDA AKINA DADA AISEE

Acid wangu! hawa wadada wanaoolewa kwa kufuata mkumbo wanatuzidishia matata kwenye hii sector, baada ya kuboronga ana imani kweli jamaa atatangaza uchumba-ndoa? itakua ndoa kweli hii au ndio anatuongezea maigizo? ningekuwa mie ndio huyu mdada nicngefikiria kuendelea na mkaka nilimuumiza kiac hiki.
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.

sasa dear wangu ushasema hapa lengo lako lilikua kumkomesha na sasa si umeshafanikiwa.!
 
Mwinjilisti umeanza vizuri lakini umemalizia kwa hasira sana, huyo ni kondoo aliyepotea, muelekeze kwa

upole na baadae mchape injili ili arudi kundini. Yesu angekuwa mkali hivyo hata wale mitume 12 asingepata,

na asingeweza kuacha kanisa la watu 120 kabla ya kupaa kwake.

ha ha ha asante mkuu
hapo mwisho mkuu, nimewakuta watu wanafanya biashara kwenye
hekalu, niemeamua kupindua meza zao na kuwafungualia njiwa na kumwaga bidhaa zao ikabidi niwe mkali kidogo, ili kuonehsa msisitizo, siyo mimi bali maneno ndiyo yamekuwa makali kidogo ili
kuirejesha roho ya huyu bwana kwenye mstari ulionyooka
 
Back
Top Bottom