Nimemsamehe alivyonisaliti ila bado naumia nikikumbuka

Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
 
Attachments

  • VID-20240911-WA0009.mp4
    2.5 MB
Sasa inamaana nimuache sasaiv?? But nlishamsamehe tukaendlea na mahusiano almost 3months sasa,
Acha utoto sio mama Yako huyo kusema huwez mwacha, mtafutie sababu tu au mweleze ukweli kwamba Bado una maumivu na moyo wako una kumbukumbu mbaya juu ya tukio la usaliti hivyo huwezi endelea na uhusiano naye
 
Hakupendi ndiyo maana kakusaliti, sisi wanawake mpaka tuamue kusaliti jua mapenzi kwako yashaisha.

Halafu nikuambie, ni lazima atasaliti tena na mpaka umemfuma jua keshakusaliti saaana.
Yeyo mulemule mwanangu
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Hakuna sababu ya kusamehe kutombewa, ukweli ni kwamba uyo mwanamke ni malaya na wewe ni mjinga.
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Mkuu hapo kazi unayo tarajia kusalitiwa tena huyo binti hakupendi.
 
Back
Top Bottom