Nimemsamehe alivyonisaliti ila bado naumia nikikumbuka

Nimemsamehe alivyonisaliti ila bado naumia nikikumbuka

Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Sasa wewe mwanawane kwa nini hukuomba threesome na huyo jamaa na demu wako ndio kisha umsamee
 
Mkuu kuchapiwa ni Siri ya ndani sahau kabisa kama utakuwa na mwanamke wa peke yako nazani hata bikira hukumkuta nayo sasa hayo ni mambo ya kawaida kabisa
Ukweli mtupu. Kugegedea demu au mke ni vitu simple tuu wala sio vya kumind. Kwanza demu wakugegeda mwenyewe hana ladha na sio mtamu
 
Wanawake huwa hawapendi wanaume(Kabisa) the only love how we make them feel...so hizo hisia zinazofanya awe nawewe zikipotea ndio usaliti,drama,kununiwa..

Wewe mnunulie iPhone 16,atagongwa na mtu kisa kamuwekea MB za wiki

Mnunulie Gari,atapigwa na fundi maiko kisa anamsaidia kubadili oil bure

So mwanamke yupo loyal na hisia zake tu..

sio kwamba anaekupenda ila muda ambao upo nae na anakuonesha upendo,ndio hisia zake kwa muda huo zipo hivyo(wakati wako)..

She was never really yours, it was just your turn
 
Ungepambana na maumivu mwishowe ungepata mwingine na ungesahau hayo maumivu but the fact umemrudisha kila siku upo nae hicho kidonda hakitapona kwa mwanaume ni ngumu sana aisee mwache asepe utamsahau tu japo ni ngumu kwanza kama alikucheat huuo lazima atakupiga show tena utafurahi. Believe me
Ni kweli, inakuwaga Kama series yaani.....
 
Hebu waza alivyokuwa anaukatikia, fikiria alinyonywa mate akalegea, akavuliwa kyupi, mchizi AKAMNAWA, akafungua zipu ya mchizi akalitoa ndonga, akalinyonya, akachanua miguu akapachikwa UKUNI, akaulilia freeesh kabisa, na kuna muda ilichomoka, yeye ndio akaushika MPINI na kuurudishia ili aendelee kubirudika šŸ¤£šŸ˜‚
Duh aseeeh, watu hamna huruma kwakweli
 
Utoto raha sana. Eti ananipenda?!
1. Kwa mwanamke,kuna maigizo hakuna mapenzi. Sahau.
2. Inaonekana,ulichofata ndo hicho hicho wengine wanachopelekewa. Kila siku mnaambiwa kwanza mjue kiwanja sio mali ya umma,hamuelewi.
3. Eti unampenda sana. Kwa lipi? Mwanaume anatamani tu hapendi.
4. Eti nashindwa kusahau,na siwezi kumuacha.Subili yeye atakuacha,maana anaweza. Hicho ni kirusi,na kila ukikiwaza,unakonda. Hapo hapo unaposononeka,yeye hapo hapo anawaza anavyokunwa na huyo anayemkaza.
5. Upumbavu huo,ulikufanya ukashindwa hata kumuuliza kilichomfanya akusaliti. Hicho hicho ulichoogopa kuuliza,kitakuwepo mpaka mnaachana au wewe unakufa(kwa staili hiyo,wewe utatangulia).

6. Katika makosa yasiyosameheka, na kucheat ni namba moja. Lia lia kama mtoto,uliyataka mwenyewe. Laiti ungelijua umemkuta mtu mzima na starehe zake.
7. Andaa kabisa sumu ya panya,maana inaonekana wewe ni wale wa kuuliza eti sitompata kama yeye. Kwa nini utafute kama yeye,wakati unajua mshenzi?
Umeongea point sana kiongozi
 
Hao wanaokushauri ujasiri wa kumove on nao mademu zao wanachapiwa sema tu hawajui maskini......

Kuchapiwa hakunaga formula.............
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Usaliti hauna "bahati mbaya",,,anapangwa anaenda lodge anavua ngua anakazwa bado hapo bahati mbaya tu?
We msamehe ila alisaliti kwa kukusudia.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Tumia akili, usitumie hisia, yaani amekusaliti bado umekaza fuvu et nampenda utalea watoto sio wako uishie kujinyonga acha ujinga, halafu kwenye vikao uwe unahudhuria
 
Back
Top Bottom