DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Kwenye mapenzi mm Sina kipaji ngoja niwaachieni nyie mie nibaki kuwa mtazamaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, siku hizi mbona wanawake mmekua cheap sana,Hakupendi ndiyo maana kakusaliti, sisi wanawake mpaka tuamue kusaliti jua mapenzi kwako yashaisha.
Halafu nikuambie, ni lazima atasaliti tena na mpaka umemfuma jua keshakusaliti saaana.
Hebu funguka kidogo utupe mbinu mnazotumia mnapo cheat msigundulikeMimi sijasema umuache…nimeelezea ninachokijua yaani unatujua wanawake kwa siri? Umemkamata jua ushapigiwa saaana ila vumilia tu ndiyo ukubwa
Hii ina apply hadi kwa long distance r/ship? Kama huyo mwanamke amependa kweli?Mwanamke akipenda hacheat mwanaume
Bora umemwambia ukweli tuHakupendi ndiyo maana kakusaliti, sisi wanawake mpaka tuamue kusaliti jua mapenzi kwako yashaisha.
Halafu nikuambie, ni lazima atasaliti tena na mpaka umemfuma jua keshakusaliti saaana.
Shida nayoiona sio kusamehe tu bali mwamba kupata demu mwengine imekuwa kipengele 🤣Yani kwanza akishamla GOTI ndio atamdharau kabisa sababu demu mchafu amezingua. Huyu hajui kwamba mwanamke anasamehewaga kila kitu ila sio akicheat sababu it takes emotions kwa mwanamke mpaka kumvulia nguo na kuachia tupu yake igaragazwe na kumwagiwa na mwanaume mwingine. Huyu amejitengenezea kidonda bila sababu wakati angeachana na huyo manzi akakaa muda angemsahau na angepata muda wa kula pisi nyingine kama zote tu.
0714Goti ndio nn
JF usilete matatizo yako kwani na sisi tunayo matatizo yetu.....😹JF shkamoo🙌🙌🙌
Ulishafeli, the next move baada ya the so called msamaha ulitakiwa uwe umeshatafuta demu mwengine mpya na kumtupa uliyenaye kimya kimya bila yeye kujielewa. Mwanamke msaliti asamehewi huwa anaachwa kwa style yeyote ile jumla au rejareja tu na yeye unamgeuza mchepuko wako.Sasa inamaana nimuache sasaiv?? But nlishamsamehe tukaendlea na mahusiano almost 3months sasa,
Mwamba atafute pesa mbona kuna Plate #E nyingi ziko bandarini zinasubir usajili tuu ziiingie barabarani, aachane na hawa trip shamba trip garageShida nayoiona sio kusamehe tu bali mwamba kupata demu mwengine imekuwa kipengele 🤣
utachapiwa mpaka akili ikukae sawaSasa inamaana nimuache sasaiv?? But nlishamsamehe tukaendlea na mahusiano almost 3months sasa,
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.
Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Hakuna kawaida ya kuchapiwa.She is JUST a BITCH and a WHORE and he is an IDIOT kuruhusu Hisia zake zichezeweMkuu kuchapiwa ni Siri ya ndani sahau kabisa kama utakuwa na mwanamke wa peke yako nazani hata bikira hukumkuta nayo sasa hayo ni mambo ya kawaida kabisa
Jamaa halijielewi..eti linasema limemsamehe..Endelea kulia lia wakati wachuchu wapi bwerereeee...
Alafu nyie wanawake ni waongooo...eti mnapenda nyoooo...upendo wa hela zetu tuu.Hakupendi ndiyo maana kakusaliti, sisi wanawake mpaka tuamue kusaliti jua mapenzi kwako yashaisha.
Halafu nikuambie, ni lazima atasaliti tena na mpaka umemfuma jua keshakusaliti saaana.