Nimemsamehe alivyonisaliti ila bado naumia nikikumbuka

Ahh sawa sasa linahusianaje na kusalitiwa inamana ukimkaza hapo ndio kitu kikubwa mwanamke kukupa
Si ndio namna ya kumaliza machungu yako maana huyo aliyemla unadhani amemrarua kiasi gani? Mijitu inayokupigia huwa inararua kila shimo daaadeks heri nawe upewe kama unataka kukaa machungu yapungue otherwise achukue time.
 
Umemaliza kila kitu wanaopiga mademu wa watu na wanajua huyu ana mtu wake hua wanafumua kotekote piga mbele piga nyuma na hakatai anampa omba Wewe mwenye Mali sasa unanyimwa, kukata mzizi wa fitna omba akupe GOTI umalize mchezo isiwe kesi kubwa sana
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Huwezi sahau hilo ni kovu la maisha mkuu kubali kuishi nalo.
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Usimsamehe mkuu, utaishi nae kwa maumivu

Move on, utapata ugumu sasa hivi ila miaka kadhaa mbele utagundua kuwa ni Moja ya uamuzi Bora uliwahi fanya
 
Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.

Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Muoe, hizo mistakes zitakugharimu sana
 
Back
Top Bottom