Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

Aanze na Mwigulu ' Mama Samia kaa mbali na Mwigulu nchemba au Kwa jina halali Lameck Madelu'
Naomba kukazia kua kupitia yeye tuliona viongozi WANAFIKI, WACHUMIA TUMBO, WANAJIPENDEKEZA KWA KUFANYA MAMBO YA AJABU AJABU ILI WAMFURAHISHE , Mungu amsaidie sana Mama Samia awatambue wote hao katika safari yake mpya ya uraisi.
 
Kumsamehe mtu pale atakapo kufa ni unafiki wa kiwango cha uchumi wa kati
 
mtoa mada umeongea kama mimi. kila mtu angekuwa akiamka tu anafikiria kwa sekunde siku moja ataiacha dunia hakika dunia ingekuwa mahala pazuri pa kuishi. pia wazaz tujitahidi kuwapa hekima hii watoto hata tamaa za kifisad zitapungua. kuna kabila linashawish watoto na vizaz vyao kuwa wezi, walafi na mafisadi. wanaaminishwa katika pesa kuwa ndo kila kitu, haijalishi imekujaje. mtu haangaikii legacy.
Wakina nani hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom